Lulu Michael Kwa Picha Hii Aingia Katika List ya Mastaa Malimbukeni Wanapopata Pesa
13
September 09, 2014
Kumezuka katabia Kwa Wasanii Mastaa Kuonesha Pesa zao Kwenye Mitandao ya Kijamii Kama Facebook na Instagram wanapozipata kwa Mkupuo , Lulu Michael nae ameingia katika list ya wasanii hao, Juzi Kapost picha hiyo Hapo Juu akionesha zigo la Pesa...Je ni Sawa kwa staa kama Lulu Kufanya Hivyo au ni Ulimbukeni wa Pesa?
Tags
Ulimbukeni na hapo kafilwa hatari huo ndo mshahara
ReplyDeleteKwa kipi alichonacho hadi avibuliwe chemba ya mavi alipwe yote hiyo..chini kaweka kitenge perfume vipodozi kibao ..juu kaweka laki 2..ushamba mzigo
Deletehuyu mtt kachanganyikiwa, juzi juzi tu kaumbuka na gari lakuhongwa na polisi, leo hii anaonyesha pesa hivyo!!! utaibiwa wewe, watu hawafanyagi hivyo!!! acha ushamba!
ReplyDeleteMpumbavu! Limbukeni.
ReplyDeleteHuyu nae anahesabiwa siku.
ReplyDeletelimbukeni mwingine ni yule sijui meneja sijui nani wa madameee
ReplyDeleteLulu bwana kwa kutaka kiki HIZO HELA MI NAHIS NI LAKI NA NUSU,CHIN YA POCH KAWEKA VIPODOZI NA KITENGE JUU KATANDAZA HZO LAKI NA NUSU MXEEEEW
ReplyDeleteHahaha mdau umenena true
ReplyDeletehuyu binti ana mambo mengi tena makubwa na yakutishatisha tu kiasi kwamba hata mimi na utu uzima wangu kwake naonekana mtoto, halaf wanaume wake hawana kinyaa yani leo kapo huku kesho huku kanawabadilisha tu, ukistaajabu ya Nyangumi wa Mtwara utashangaa ya haka kabinti
ReplyDeleteMdau unanivunja mbavu zangu. hahahhahahahahhahahahaaaaa
Deletemdau taratibu na mbavu zangu,,,,ya nyangumi umetisha uuuhhhhh!!!!!!!!!
ReplyDeleteWanashindani,kuna shoga yake mmoja anachukuliwa na wauza..Dona.. Alipigwa chini sasa hivi karudiwa sasa ndo wanashindana kubadli magari nk
ReplyDeletekwikwikwi kweli chini kuna kitenge jamani!!!! huyu mtoto mdogo mno nae vipi, sijua anataka aue tena?
ReplyDelete