Mama mzazi wa mkali wa bongofleva Nay wa Mitego ameongea kwa mara ya kwanza na millardayo.com na kusema ana wasiwasi na mwanae ambae hivi karibuni ametoa video mpya aliyoifanya nchini Kenya.
Amekiri kweli kwamba siku kadhaa zilizopita ilibidi amwite na kumuweka chini Nay wa Mitego akitaka amueleze kama ni kweli amejiunga na ‘freemason’ ambayo wengi wanaitafsiri kwamba ni dini ya kumwabudu shetani kitu ambacho kiliwahi kukanushwa na aliyewahi kuwa mmoja wa viongozi wa freemasons Tanzania.
Mama anasema alimketisha Nay chini baada ya video ya ‘Mr. Nay’ kutoka ambapo baadhi ya picha sio za kawaida mfano damu pamoja na alama zilizotumika ndani yake.
Amesema ‘Naitwa Matilda Mwaipopo ni mama mzazi wa Nay, kwakweli mwanangu namchukulia lakini sifa tu zinazokuja kama Nay kwenye magazeti, Nay freemason, watu wanakuja wananisimamisha…. mwanao Nay kweli? mbona tunasikia freemason? basi kichwa changu kinapagawa…. ‘
‘Nikiangalia miziki anayoifanya kama hii aliyoitoa juzi, jamani mwanangu anaambiwa freemason usikute kweli freemason, Nay wa Mitego nimemuita…. mwanangu vipi? ninayoambiwa ni ya kweli? Freemason wewe? mbona wimbo wako huu siuelewielewi? ananiambia mama mimi sio freemason, namwambia hapana mwanangu hapana….. nasikia freemason watu wanatoaga hata wazazi sadaka’
‘Mimi ndio mama niliebakia baba yenu alifariki aliniacha ukiwa na miaka mitatu nimejitahidi kukulea mpaka leo…… unitoe sadaka mama yako kweli?????!!! Nay wa Mitego sana ni kucheka…… anaona tu mama kama anapagawa, lakini kwakweli mwanangu simuaminiamini miziki yake hii anayoifanya’
Mama Mzazi Wa Msanii Nay wa Mitego Ana Wasiwasi na Mwanae Kuwa Keli ni Freemason
19
September 13, 2014
Tags
huyu jamaa bwege nini? sasa hiyo midamu kwenye video yake ni yanini? au shetani hili?
ReplyDeletehe's not but i think he wish to be one, na hajui wanajijoin vip ndo kuangaika kwake uko! shame on him, dawa yake ni kutosapoti his music tu shwain wahed!
ReplyDeleteDIAMOND NA NAY WAMEKANA UISLAM WAO NA UKRISTO SASA HIVI WANAABUDU MASHETANI,WE FATILIA SYMBOLS ZA VIDOLE DAI ANATOFANYAGA NIME GOOGLE NI FREEMASON NA SIO KAMA HAJUI MAANA YA HIZO SYMBOL ANAJUA SANAAA,ANGALIA SYMBOL ZA VIDOLE ALIZOWEKA WEMA SEPETU WALIVYOTOKA CHINA,ALIPIGA NA MARTIN KADINDA NI FREEMASON,ANGALIA TANGAZO LA AIRTEL ALILOTOA WEMA SEPETU ILE SYMBOL NI U FREEMASON,SIDHANIIIIIIIIII KAMA HAWA WATU WAZIMAAAAA,NA WOTE WAKO ABOVE 25 WASIJUE MAANA YA HIZO SYMBOL ZA VIDOLE,NA U FREEMASON UNAPENDAGA HARUFU YA DAMU.ENDELEENI KUTESA NA HUKU NJIA MNAZOZITUMIA NI ZA MASHARTI MAGUMUUUU.BORA NIBAKI NA DHIKI ZANGU,NI WORK HARD KWA NJIA HALALI NA SIO U FREEMASON AU SEMBE,
ReplyDeleteMAMA NAY CHUNGAAAA ATAKUTOA KAFARA HUYO OHOOOOO
ReplyDeleteKAMA MI MNANIONA MUONGO GOOGLE MASONIC SYMBOLS MTANIAMBIA,HII MIZIKI YAO INAENDESHWA NA SHETANI WALA HAKUNA MUNGU HAPO,NA USTAA WAO MAVI KUNUKA.
ReplyDeleteUBAYA WA HAYA MASTAR KUNUKA YA BONGO YANAONA NOMA KUJITANGAZA,WATU WAKAYAJUA KWAMBA YANAABUDU DINI ZA MASHETANI,MBONA RIHANA NA WENGINE WAMEJITANGAZA?TANGAZENI BIASHARA YENU WATU WAWAJUE SIO KUFICHAFICHAAA,MAMAE ZETU NA MTAKUFA KIBUDU NA TAMAA ZENU.
ReplyDeletemimi sikurupuki na kumsingizia mtoto wa mtu jambo la uongo ni dhambi,ila Evidence zote angalieni kwenye google mtaona hizo symbols za dai na wema,KAMA MNAZITUMIA BILA KUJUA ZIACHENI KAMA MNAJUA BASI SAWA KILA MTU ANA UHURU WA KUFANYA JAMBO ANALOTAKA,ENDELEENI.ANGALIENI KWENYE INSTA YAKE WEMA ALIPIGA PICHA INA MIRABA MIEUPE NA MIEUSI NA MARTIN KADINDA,NA TANGAZO ALILOTOA LA SIMU.EVIDENCE GOOGLE.MNAIGA ALAMA ZA VIDOLE SIJUI KAMA MNAJUA MAANA YAKE.
ReplyDeleteTena Skyna bora akamchukue mwanae asijidanganganye na hiyo midola anayomshikisha mtoto akipiga picha. Asifikiri amempunguzia mzigo kumsaidia kula mtoto. I can smell the evil hata chelewa kumtoa kafara mwane msishange mara mtoto ameugua ghafla au a me chezea kitu cha hatari kikamdhuru anything crazy au mama mtu kama alivyoisha ingiwa na how u au demu wake kuzaa mtoto aliyekuwa au akazaa salama wakakuza mara ghafla bin vuu mtoto huyoooo. Yani hawa watu wa shetani ni shiiiiiiiideeer. Wacha tuangalie Mambo yanavyoenda hawa wanamuziki wengi wala siyo Diamond na Ney peke yao hata Vee money mchunguzeni vizuri kwanza nguo zake ni utata halafu angalieni cover ya wimbo wa closer amefunika jicho moja kwa wanajua what eye of horus is there it is. Yaani this is the work of evil thank God some of you guys have seen it. Huko Kenya wanakokimbilia kufanya shooting those directors are deep in this devil worshiping crap. I just recently watch Meninah ' s video copy and paste maan what I saw just broke my heart. If you don't understand the symbols and meaning you will watch it innocently and just say oh wow that's a really cool video but honestly it's not. Guys I can go on and on I wish I could start blogging and expose this craziness but I'm way too busy I just pray that God open our eyes more and many to be saved from this evil pop culture
ReplyDeleteEti madai Yao wanawaiga wakina jay z na Beyonce ,angalia msitoe makafala wazazi au watoto wenu......Mimi natoa ushuhuda Jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu,ninakusanya miujiza Huku ulaya mpaka najishangaa.Watu wanasema ulaya maisha magumu,mmmh mi nakataaaaa ,Mungu wangu ninayemuabudu(God,Allah,Jehovah,)mwacheniiiii,ananiwekea wepesi mpaka najishangaaaa,Asante Yesu.I believe in You mpaka utaposema yatosha.
ReplyDeleteAmen na atazidi kukubariki wala usicheze kumuomba utashangaa mpendwa jinsi mambo yatavyozidi kukunyookea. Mtangulize yeye tu shida utazisikilizia kwa wengine wewe ni raha tu najua unachomaanisha mimi tangu nimeamua kuishi kwa maombi yaani ni raha tu.Mungu ni mwema jamani
ReplyDeleteKabisa,Upendo Wa Mungu ni free,miujiza free,Hana hata gharama.believe in God.
ReplyDeleteamna freemason apo nyie hao wote wanataka attention yenu kama iv tunawadiscuss
ReplyDeletePole Mdau Mimi sio Kama wewe umewafahamu kupitia magazeti au mablogu.
Deleteinaonyesha bas unawafaham sana ila haukusaidii chochote bdo
DeleteFreemason wanatumia kitabu gani,Biblia au Quraan?Au wana kitabu chao tofauti na hivi?Nauliza hivyo kwa sababu naona wako wakristu na waislaam huko kwa Freemason.
ReplyDeleteJiunge ndo utajua wanatumia kurani au bibilia,au mambo mengine.
ReplyDeleteAjiunge vipi bila kujua katiba yao?
Delete
ReplyDeleteNAY WA MITEGO????GIVE YOUR LIFE TO JESUS NOW.
business tu jamani,hizo cjui damu smbols ni intataiment tu wapendwa,muziki lazima uwe na vikorombezo,(iombei ila ni mtazamo wa baadhi wa wadau) cku Nay akifa watasema amejitoa kafara kama marehe Kanumba wakati mtu zake zimefika kisa eti katoa siri za huko sio kweli sisi waTZ ouga wetu ndo umasikini wetu!!!!!!!!!!!!tunapenda vya mteremko pasipo kutoa jasho.tuamke muziki sio ila siku tuone video za kitandani cjui club hata hzi ni ubunifu,Nay keep uop broo.
ReplyDelete