Producer mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.
KUMPROMOTE MWANAMZIKI NI VIZURI LA KINI MIMI NAONA NJIA INAYOTUMIKA KUMPROMOTE ALI KIBA KUPITIA MGONGO WA DIAMOND NI KAMA KPOTEZEA MUDA ALI,SABABU DIAMOND NI MWANAMZIKI MKUBWA SASA ANAYETAMBULIKA ENEO KUBWA DUNIANI HIVYO KUTAKA KUMRUSHA ALI KIBA AFIKIE MAFANIKIO HAYO NI KUMDANGANYA SANA SANA ATAMALIZA KA AKIBA KA VIHELA ALIVYOKUWA NAVYO NA MUDA MFUPI ATAADHIRIKA NA MTAMKIMBIA,SABABU PAMOJA NA PROOMO LAKINI HADI MUDA HUU HAKUNA ANACHOFANYA, ETI NASIKIA KWENYE SHOW ZA FIESTA ALITAKA ALIPWE KAMA DIAMONDI JAMAA WAKAMPIGA CHINI SASA AMEBAKI KUOMBA OMBA PESA AKA SHOOT VIDEO ILA WADHAMINI WAKE WANAOGOPA KUWA PESA YAO INAWEZA ISIRUDI, AMEBAKI AKISUBIRI NA KUOMBA KUITWA KWENYE MEDIA ILI APOST INSTAGRAM, ILA NACHOSIFU MASHABIKI WAKE KWELI NI KIBOKO WAKIONA AMEPOST PICHA AMEVAA HEAD PHONE WATAKOMENT HAO UTAONA UMERUDI BABA, WEWE LEVEL NYINGINE,SIJUI DIAMOND HAKUWEZI LAKINI UKIINGIA INSTAGRAM KWA DIAMOND UMAONA AMEPOST SHOWA NA KAZI ANAZOFANYA MARA UTAONA ANA SHOW SIJUI LONDON MARA GERMANY MARA USA SASA UNASHANGAA HUYU ALI HATA FIESTA ANASHINDWS NA AKINA SHILOLE LEO NI WA KULINGANISHWA NA DOMO KWELI?
ReplyDeletemdau tafadhali tafadhali nipe namba yako ya tigo pesa
ReplyDeleteMdau hapo juu umetisha umeona mbali
ReplyDeletejamani man water umependezaje na hilo pozi lako!una macho ya uchokozi.Mwaaaaa!
ReplyDeletewarembo tunakomaje!
Hata mimi naona Ali kiba anapata wakati mgumu sana hii inatokana na sababu kuwa gia aliyoingia nayo kwenye gemu ilikuwa kali sana inaonekana watu wake wa masoko hawakujipanga ,wangemuacha arudi taratibu then angeshika kasi ila kwa sasa kachanganyikiwa.
ReplyDelete