Maskini:Embu Angalieni Hii Video Jinsi Wenzetu Wanavyoteswa Kwenye Kambi za Jeshi JKT

Jamani hebu agaliendi yanayotokea kwenye kambi za JKT. Sijui ni kufundishwa uzalendo huko au ni mateso. Serekali Ipo Wapi Jamani Kama ndo uonevu wa Aina Hii Upo Huko ..Tutaogopa sasa Kuwapeleka Wanetu Kwenye Mafunzo Hayo ya Jeshi ..
Angalia Video Hii Hapa chini Ujionee:

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo wajeshi wengi elimu hawana ndo maana wanafanya mambo ya kisenge,,Na tunaomba serikali iliangalie hili maana serikali ndio imetoa tamko la kila mwanafunzi anaehitim kidato cha sita lazima apitie mafunzo haya,,,,,sasa kama ni kwa stail hii wataweza kweli!!!!!!!!!!!!!!!! Serikali elimisha wajeshi wako maana wengi ni std vii tu afu wanatutesea wasomi wetu...

    ReplyDelete
  2. hawa kuma wanajeshi hua wanafanya mambo kisenge lakini wanaachwa kwnn hawachukuliwi hatua yale mafunzo gani kama cio mateso...kama mtu kashidwa c arudishwe kwao aandikiwe ripoti kua mtoto wako kashindwa kuna haja gani ya kumtesa?tatizo ndo hilo hawa kuma wanajeshi elimu ndogo mtu akiferi shule anakimbilia kwenda kua mwanajeshi unadhani ataenda kufundisha nn na nyie wakubwa cio kama hampati taarifa mnazipata sana sema hamzifanyii kazi sbb cio watoto wenu wanao teswa...na kama mlikua hampati taarifa haya angalieni hiyo crip hapo na tunamshukuru xana huyu alietuletea hii video ni taarifa nzuri na pengine lengo lake ni jema anataka tabia hii ikomeshwe kwa namna moja ama nyingine nadhani hakufurahia kitendo hiki cha kinyama kabisa hongera xna your a human 4sure......na nyie viongozi wa juu wote mnaohusika lakini mmekaa hivi hivi cwezi kuwaacha bila kuwatusi....kuma za mama zenu na mnafirwa nyoko zenu kumaamae zenu wasenge wakubwa!

    ReplyDelete
  3. Kawaida sana sasa hapo kateswa nn? acheni matuc mbona hata robo ya ujesh bado

    ReplyDelete
  4. Mungu wangu mwanangu huko aendi kabisaaaaaaa! Mpaka tumbo la uzazi limeniumaa! PIA tunaomba muache kuwa mnatukana sehemu nyeti zilizowafanya muwepo duniani na kuwafanya muwe na midomo ya kutoa matuc! C mseme za wanaume BAC nahic mkitamka za mababa zenu zitaleta maana kwenu. Bapuuuumbu na maboooo ya mababa zenu tena mengine hayajatahiriwa, mbooo zimeoza. Nyingine ka kipic cha sigaraa mabooooo nyie. Mnafirwaa nyie wanaumee mbooo na mapumbu ya mibaba zenu. Nina hasira mijibwa nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu kafie mbele bwege mkubwa

      Delete
  5. Mtu anaewapinga hawa maafande ni kuwa haelewi nini maana ya jeshi na mtu anataarishwa kuwa mwanajeshi ili aweze kukabili nini?Ni sawa useme mfungwa anateswa inahitaji asubuhi apewe chai na vitumbua,saa nne apewe chai na sambusa,apewe godoro la vono,afuliwe nguo.Na kila week apelekewe daktari ampime afya.Kisheria alietuma video hii anapaswa ashtakiwe its a direct breach of national security.Tanzania tuna jeshi zuri kutokana na mafunzo haya!

    ReplyDelete
  6. Binadamu lakini wanavyo act like animals so stupid hao wanaojita wajeshi, mafunzo ya kijeshi gani? bali ni unyanyasaji na mtusi juu, they act like an animals

    ReplyDelete
  7. Wapo sahihi kabis, ni sehemu za kuimarisha, naona hawajafanya kosa lolote. Nashangaa nawanaowabeza trainers, wapo sahihi kabisa, hakuna cha kusema humanity wala nini ilikupotosha ukweli na maana ya Mafunzo, huko hamna unongo uongo ambao watu wamezoea.

    ReplyDelete
  8. I support trainers kwa 100%, wale ni watu kabisa na wanaakili zao timamu, na wameenda shule vilevile, nani kasema hawajaenda shule, au unavyosema shule unamaanisha nini?Tuwe wa kweli, au mlitaka wawadekeze huko kambini?je hayo yatakuwa ndo mafunzo kweli?Acheni siasa.Wao ndo wanajua tabia za kila mtu.KWanini yeye na si wengine?Hata kufikiri hilo mtu lazima awe na degree jamani? lazima tuwe critical

    ReplyDelete
  9. Tatizo ubongo wa wabongo wengi umelala wanawaza politiki tuu,yaani hata mafunzo ya ukakamavu mnaweka siasa!Ukawa itachukuache nchi iwapo vijana watakuwa maselule?

    ReplyDelete
  10. Sasajamani mbona tunafika mbalisana matusiyote hayo niyann.Nyie mnafikiri kupewadhamana ya kulinda Taifa,nirahisi kiasi hicho.Tusipende tu kupayuka payuka.Namatusi mengi.kwani haya saidii chochote.jamani.hebu tubadilike yale ni mazoezi ya ukaka mavu.tu.hakuna mateso yoyote.wala msiogope.nchi yetu bado inaamanisana badohatuja fikia hatua hiyo janani.Mungu ibariki Tanzani mungu ibariki Afrika,

    ReplyDelete
  11. hata kama wanahisi hayafai kwa nn watukane, ni bora waulize ili waelimishwe vinginevyo wao ndio wajinga na kama ni wasomi pengine in wa "copy and paste". wanapashwa wachunguze kwanza tukio lenyewe inawezekana huyo mtoto ndio mwenye makosa na hapo kuna watu wanajituma kwa uwezo wao na wanategea, yeye atakuwa amekosea. halafu mafunzo hayo ndiyo yameifanya Jeshi la Tanzania kuwa la 35 kwa ubora duniani , halafu wewe unaleta matusi wakati unalala ndani wao wanakulinda hilo hamlioni. Jeshi letu halijafikia huko mnakoona duniani kila kitu computer "mechandize Army" jeshi letu bado ni la mitulinga, tunaomba uvumilivu muache matusi.

    ReplyDelete
  12. kawaida kabisa,mbona mgambo wanateswa zaidi ya hapo mmh,tembelea mafunzo ya mgambo utajifunza kitu,na kisha utacema kawaida ,mateso yapo wapi hapo kjana eeh

    ReplyDelete
  13. watoto wamafisadi ndiyo wanatakiwa wapewe mafunzo haya, ili wajue jinsi inavyouma hela zetu zinavyotafunwa na wazazi wao!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad