Mateka Mwengine Akatwa Kichwa na Kundi la Himaya ya Kiislamu

Serikali ya Uingereza imesema kuwa inachukua hatua za dharura ili kubaini ukweli wa kanda ya video inayoonyesha mateka wa Uingereza David Haines aliyetekwa nyara na kundi la himaya ya kiislamu akikatwa kichwa.

Mfanyikazi huyo wa misaada aliyekamatwa nchini Syria mnamo mwezi Machi mwaka jana ameonyeshwa akipiga magoti katika jangwa, kando yake akiwa ni mtu aliyeficha uso wake ambaye amebeba kisu.

Atakuwa mateka wa tatu wa magharibi kukatwa kichwa katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

katika kanda hiyo ya Video mtu aliyeshika kisu anaonekana akishtumu mataifa yanayounga mkono Marekani,naye Haines ambaye anaonekana kuwa chini ya shinikizo anaonekana akimlaumu waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron kwa hatma yake.

Mwisho wa kanda hiyo mateka wa pili wa Uingereza anaonyeshwa na kutishiwa.

Wakati huohuo Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron ameshtumu kukatwa kichwa kwa David Haines kama kitendo cha kishetani.

Amesema kuwa wauaji watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria ata iwapo itachukua mda mrefu.

Katika taarifa yake rais Obama pia ameshtumu mauaji ya kikatili ya David Haines.

Amesema Marekani inaomboleza na Uingereza kifo cha mateka huyo na kungezea kuwa itashirikiana na muungano mkubwa wa kimataifa ili kuwakamata washukiwa mbali na kuharibu tishio hilo kwa ulimwengu.

Wanahabari wawili Steven Sotlof na james Foley waliuawa na wapiganaji hao mwezi uliopita.

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kata vichwa makafiri na wanafiq

    ReplyDelete
  2. Safi sana kata wote hao mdau nimependa maoni yak allah atatusaidia kujilinda dhid ya makafir

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYO ALLAH WAKO ANAWATUMA KUUA?SHAME ON YOU

      Delete
    2. kwani makafiri wameumbwa na nani me nataka kujua jamani

      Delete
    3. hamna hata haya kuwaita wenzenu makafiri, masikini wa mawazo nyie

      Delete
  3. hata aibu hakuna, mnafikiri mnaenda peponi,hakuna cha pepo nyie wauaji wakubwa moto unawangoja msipotubu

    ReplyDelete
  4. hivi nyie mnaofurahia eti kata makafiri mnamjua Mungu wa kweli nyie?kama mungu wenu anawaongoza kuua makafiri wala huyo mungu wenu si mungu ni shetani na msijipe moyo kwa sababu siku moja mtajua kwamba mlikuwa mko brainwashed tu hakuna mungu anayesupport uuaji hata wa adui yako hiyo ni kazi ya shetani. Mungu ni UPENDO.

    ReplyDelete
  5. Makafiri? Kesho yake mumejaa ubalozi wa Uingereza/Marekani kutafuta visa za kwenda huko badala ya Saudia! Waislamu wengi wameomba ukimbizi huko kwa mnaowaita makafiri kuliko huko kwa mujahideen wenyewe. Allah wenu anapenda damu!

    ReplyDelete
  6. Hawa sio waislamu ni Mashetaniiiii

    ReplyDelete
  7. Makafiri? Kesho yake mumejaa ubalozi wa Uingereza/Marekani kutafuta visa za kwenda huko badala ya Saudia! Waislamu wengi wameomba ukimbizi huko kwa mnaowaita makafiri kuliko huko kwa mujahideen wenyewe. Allah wenu anapenda damu!

    ReplyDelete
  8. NI SHIIIDAH, HAWAJIELEWI KABSAAA MPAKA LEO ELIMU HATA YAKUFIKIRI HAKUNA, EEEH MWENYEZI MUNGU WAANGALIE WATU HAWA KWA JICHO LA PILI , ETI WANAUWA ILI WAJE KWAKO? NI MUNGU YUPI HUYO? KWA MUNGU NINAEYEMFAHAMU WATAKUWA KINI ZA MOTONI.

    ReplyDelete
  9. WANAJAA KISHENZI UBALOZINI MPAKA KERO

    ReplyDelete
  10. Hakuna uislam wa kumwaga damu,hao ni mashetani.

    ReplyDelete
  11. eti uislam ni amani!! amani gani mnauwa watu hovyo? mbona wairaq na wairani wanamuunga mkono obama kuwapiga hao isis na wata wanawake wa kiislamu wameingia jeshini kuwapinga hao mafirauni isis

    ReplyDelete
  12. Nyie hao wote wanaosema makafiri wenzao hawajielewi, wote ni viumbe wa mungu, mungu aliumba huyu kafri huyu sio kafri nani? kakwambia, kwanza hakuna aliemuona mungu hata siku moja, sasa utamwitaje kafri, na kwanini mwataka enda huko kwa makafiri, ulaya, mwataenda kufanya nini? wakati kuna makafiri,si mtakuwa kafri na nyie, bora mbaki huku huku, ktwa mwajazana kwenye barozi zao mwa taka enda kwao, nendeni Saudia, msipoteena huo ukafiri, mnaouita, brain wash

    ReplyDelete
  13. wape wape huo vidonge vyao !!!

    ReplyDelete
  14. kwanza mnaogopa nini mpaka mkate watu vichwa??? mtawauwa binadamu wenzenu mpaka lini? au ni faida gani mnapata. Mungu wa kweli hakubaliani na hilo damu za hao mnaowauwa bila kosa zinawalilia mbele ya mungu na ndio maana kutwa kucha nchi zenu hazina amani vita tu nyie nyie!!!

    ReplyDelete
  15. ETI WANAENDA PEPONI!!! NA HIYO MIKONO ILIYOJAA DAMU???

    ReplyDelete
  16. Wanaotenda ushetani,wanawezaje kwenda peponi? labda kama kuna pepo iliyotengenezwa kwa miti ya Chalinze,lakini ile ninayoisikia, kamwe hawataenda.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad