MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na kuingizwa miti na polisi.
Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo jana ili kuithibitishia mahakama kile walichodai ni unyama waliotendewa na polisi wakati wakihojiwa.
“Mheshimiwa hakimu, angalia (anageuka na kuinua suruali katika eneo la makalio), haya ndiyo madhara niliyopata kwa kuingiliwa nyuma na kuingizwa jiti,” alidai.
Baada ya mshtakiwa huyo kuzungumza, Hakimu Hellen Riwa alimshauri kutoa taarifa kwa uongozi wa Magereza ili aweze kupata matibabu ya haraka kwani akiendelea kukaa hivyo anaweza kupata madhara makubwa.
baada ya matibabu...kutakua nakesi yyte kuhusu kulawitiwa kwa huyo jamaa ambayo itawahusu waliolawiti?
ReplyDeleteKwani na yule aliye lawiti ni vipi huyo kiongozi wa uwamsho hakumuona? ..Anachukuliwa hata gani nae? ...lazima atangazwe nae ajulikane kama alivyo mdhalilisha mwenzake. .na si huyo tu kisha lawiti wengi. .au serikali ndo mnamfuga huyo sodoma na gomora. ..Sheikh mpoint huyo alikulawiti ajulikane..hata kama jina humjui
ReplyDeleteAu yule aliyelawiti kaletwa kutoka nje ya magereza? ....Kama kweli hao watu walikuwa wanataka kuuwa raiya wema wasokuwa na hatiya eti sababu ya kujitenga Bara na visiwani. Sijui wangeishi vipi kwa amani na kumcha MunguAmbae hivi karibuni wote sisi ni marejeo kwake. .na kama walisingiziwa Mola ndo Muonaji zaidi...Na kama huyo sheikh kalawitiwa kweli..Kila kitu kitadhihirika hivi karibu..Mungu si wa kuchezea hapendelei mwislam au mkristo au mpagan. .wote haki sawa.kasheshe ni the day of judgement
ReplyDeleteukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, kutokua na hofu ya Mungu ndio kunapelekea yote haya, ee Mwenyezi Mungu tunaamini sisi ni binadamu na wote ni watoto wako, hakuna unaemchukia wala kumpenda zaidi ya mwenzie, tunakuomba uingilie kati hii hali ya dunia inakoenda sio kwema
ReplyDeleteJKT sio mafunzo ya ulimbwende hv mtu kupiga kelele ndo kuteswa mwandish acha upuuzi hakuna kitu cha ajabu hapo na mnaoshangaa aliyewaambia kuwa huku wanaenda pic nic nan?
ReplyDeleteToa usenge wako hapa tunazungumzia issue ya kulawitiwa watuhumiwa wa ugaidi na sio issue ya mafunzo jkt
DeleteAfande amekula jicho,amemwona mwarabu akaona apige kiboga,hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake amemdhalilisha sana na achukuliwe hatua kali
ReplyDelete