Mtazame Diamond Akibonga Kizungu Alipokuwa Akihojiwa na Coke Studio

Join Diamond Platnumz who makes a return to Coke Studio Africa Season II and Yemi Alade as they answer questions from the fans online and tell us more about their musical journey.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admin mdaku wewe,

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndo mana blog inaitwa udaku mdau

      Delete
  2. Daimond angeomba tu afanyiwe Kiswahili, hakuna aibu, amesaidiwa saana na Yemi pamoja na mfanya interview hiyo ya kizungu na kibaya zaidi anajaribu ktaka ongea slang, ni bora angeongea cha kawaida. Pia sijui alilifahamu swali alipooulizwa kama ana mchumba na akasaidiwa na Yemi kujibu ana date tu inamaana hana ila anao wa kutoka nao hilo jibu ni dharau kubwa kwa Nema anaesema ni Mchumba wake anaetaka kumuoa.

    ReplyDelete
  3. Kaka ungeongea kiswahili tu,hicho kingereza chako ni kama umetunyima uhondo
    kwa jinsi tunavyokujua na hayo manjonjo yako.maana hapo ungeongea na ambayo hujaulizwa,KIZUNGU CHA WAZUNGU haki mweeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahaha,bora mara mia, haki na nani tena.
      Hata mimi kizungu huwa nafanya kama cha majaribio,maana lugha ya watu bhana.

      Delete
  4. Shemeji vipi tena?slang wakati hata mdomo haujakaza kuongea kizungu cha kawaida
    ?Jitambue Dai.

    ReplyDelete
  5. MIJITU KWA WIVU HAIJAMBO ANGEONGEA KISWAHILI MNGESEMA KIJANA WETU ANAYEWAKILISHA NCHI AMEJITAHIDI BANA

    ReplyDelete
  6. Team Wemaaaa English course Kwa Dai tume vuzuuuuu

    ReplyDelete
  7. Jamaa kaongea poa sana, hajaongea broken na ameongea straight bila kutafuta maneno. Jamaa ameiva na anaweza sasa kufanya interview kwa kizungu. Mnyonge mnyongen haki yake mpeni

    ReplyDelete
  8. Aaaaaaahhhhh kwa kweli team Wema bado hawajafanya kazi yao vizuri duh.......yaaani mpaka kichefuchefu.......Jamani shule hahaha dah

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad