Stori: Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya kufanyiwa fujo katika shoo yake nchini Ujerumani, staa wa Mdogo Mdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka na kueleza namna ambavyo alidhalilishwa nchini humo.
Diamond aliponea chupuchupu kupewa kipigo baada ya kuchelewa kwenye shoo iliyokuwa ifanyike katika Ukumbi wa Sindelfingen katika mji wa Stuttgart, Ujerumani.
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutua Bongo Jumanne iliyopita, Diamond alisema anasikitika kwani alidhalilishwa wakati alipokuwa akidai haki ya kumaliziwa malipo yake ya shoo euro 250 (zaidi ya sh 500,000).
“Inaniuma sana kwani mimi pale nilikuwa nasimamia haki yangu, kwani nilikuwa nawadai euro 250 sasa nikaona wananizungusha na nilipokomaa zaidi huku wakiona muda wa shoo unapita, ndipo walipoanza kunitukana bila sababu.
“Wamenitukana mimi, wamewatukana hadi ndugu zangu ambao hawakuhusika na chochote na wala hawakuwepo kule. Wamenidhalilisha bila kosa. Kimsingi sikutaka kupanda jukwaani pasipo kumaliziwa fedha zangu licha ya kuwa si nyingi kiivyo,” alisema mtoto huyo wa Tandale.
Kwenye maelezo menginena paparazi wetu, Diamond alisema baada ya kutokea vurugu hizo alilazimika kurejea nchini pasipo kumaliziwa fedha zake lakini promota wa shoo hiyo, Kamabritts aliahidi kuandaa shoo nyingine ya bure ili kujisahihisha kwani kosa lilikuwa la kwake.
Kwenye mvutano huo kati ya msanii na promota huyo, Diamond alitegemewa kupanda jukwaani saa nne usiku lakini ilishindikana hadi ilipofika saa 10 alfajiri kitendo ambacho kilisababisha mashabiki wafanye vurugu kwa kuvunja viti na thamani nyingine za ukumbi zinazokadiriwa kufikia Euro 128,222 (Sh. milioni 280).
GPL
Mwanamuziki Diamond Platnumz Aeleza Jinsi Alivyodhalilishwa
13
September 05, 2014
Tags
huyo domo wenu bongo bonge la mshamba eti ana hela ana vihela mbwa huyo alitakiwa wamle vilevile, halafu anashboka sana na wapopo, kwakua shule zero akisikia hiyo broken english mkundu wazi, safi sana nduguzo wakikutaka show mjuaji,
ReplyDeleteHAHAHAHAAAAAAAAA GLOBAL /SHIGONGO KWANI DIAMOND AKIKATAA SHOW ZENU NDO NONGWA,NYIE HATA MKIMUANDIKA VIPI KIJANA WETU ANAZIDI KUWAKIRISHA NCHI VIZURI,NYIE NDO ZENU JIDE JUZI KAWAMBIA UKWELI KUWA MSANII AKIKATAA SHOW ZENU MNAANZA KUMFITINI,PIA OMMY DIMPOZ MLIFANYIA HIVYO BAADA YA KUWATOSA,TANZANIA KUNA WANAMUZIKI WENGI KAMA MSANII AMEKATAA OFFER YENU MNAMTAFUTA MWINGINE NA SIYO KUCHAFUANA.
ReplyDeleteUTETEZI WAKO NI SAWA, KOSA LAKE NI MUDA, KWETU SISI MUDA SIO MALI NA KUCHELEWESHWA NI UTAMADUNI WETU; ULAYA MUDA NI MALI SANA; KUMPOTEZEA MTU MUDA NI KOSA,DHAMBI, UFISADI N.K. WASANI NA WANASIASA WA BONGO KWA HILI MJIFUNZE, MNATUKELA SANA KWA KUCHELEWA.
DeleteTatzo halikuwa lake,tatzo mapromoter wenu waliomwita ndio waloleta mambo ya kijinga,hata ikiwa dollar moja km walikubaliana wampe kabla hajapanda jukwaani alikuwa sahihi kuidai as lon as haki yake,Diamond hakuwa na kosa msimsakame bureee,waambieni ma promoter wenu next time wajipange waache ushamba wakawatia wasanii wetu madoa....
DeleteInauma hii mtu unahangaikaa mpaka unatukanwa na kuzalilishwa mpaka unanusurika kupigwa miti huko germany halafu ukirud hapa hiyo laki tani uliyokua unamdai mpopo malaya wako anaichukua anakusanya malaya wenzie wanaenda itumia ucku mmoja kwa anasa tu!! Halafu ww mbona bongo huwa unajipa promo ka upo xpensive sana kumbe nchi za watu dau lako dogo hivyo??
ReplyDeleteEeeh?
DeleteNyota inaaanza kufifia,ila namsifu kawekeza vya kutosha.
Hatakuwa vibaya hata siku moja yeye na mke wake na wototo
wao panapo majaliwa.
we mshenzi tu mambo ya africa unapeleka ulaya watakudunaa juu ya usanii wako huo mda wa shoo ulipangiwa ufike hukufika halafu unadai hela za kazi gani?
ReplyDeleteUkizoea kudhalilisha watu iko siku na wewe utadhalilishwa. Diamond hiyo inaitwa Karma nafikiri unakumbuka vitendo vyako vya kidhalilishaji malipo ni hapa hapa duniani.
ReplyDeleteTumeshamchokaaaaaa Dai mdhalilishaji Wa wanawake,Hivi hakuna msanii mwingine achukue nafasi ya Domo??????????
ReplyDeleteMWAMBIE MAMA YAKO AIMBE KAMA UMEMCHOKA DOMO
DeleteDu
ReplyDeleteWasenge wakubwa mwacheni mtoto wa mwenzenu mtaishia kutombwa na vibwengo vivu tu unawasumbua
ReplyDeleteKARMA IS A BITCH KATOKA KUMDHALILISHA WEMA NA YEYE KAONJA UJERUMANI KUDHALILISHWA.MIANAUME MINGINE BWANA INAPENDWA AIPENDEKI.
ReplyDelete