Na Rhoda Josiah
MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia.
Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni ambapo Johari alikuwa amekaa na kruu yake (huku wakigonga ulabu) ndipo mmoja kati wenzake hao, akagusia stori za Ray kisha Johari alicheka na kusema ipo siku Ray atarejea katika mikono yake.
“Ipo siku ambayo haijulikani tarehe wala mwaka Ray lazima atarudi katika mikono yangu kwani namfahamu sana Ray kuwa ni mtu wa kuruka lakini kwangu amefika,” alisikika Johari.
Mwigizaji Johari Bado Anateswa na Penzi la Ray..Asema Ipo Siku Lazima Ray Arudi Kwake
4
September 11, 2014
Tags
Eeeh,leo kakubali,si alikuwa anakanusha sio wapenzi?
ReplyDeleteBasi ukiona hivyo Chuchu anatendwa,Ray amesha anza kukumbuka makoloni( bi Johari,).
Bila shaka siku mojamoja anagonga kwa zilipendwa wake.
usirud kwake masingle boy tupo kibao shida ako nn
ReplyDeletekama kweli basi huyu demu yupo shidani kisa na mkasa kung'ang'nia mwanaume namna hiyo yakiii! hemu move on uko usituchefue wanawake wenzio ungali tu ukiwaza atarudi ayiii!!
ReplyDeletejamani ukimpenda mtu umempenda mtu, hataukigonga au kugongwa na wengine bado roho inakuwa palepale kwa huyo mtu, naona huyu dada kapenda pale, labda jamaa akichoka huku anarudi pale kukumbushia!!
ReplyDelete