Mzoga wa Samaki Aina ya Nyangumi Waibuka Pwani ya Mtwara, Ni Samaki Mkubwa Kuwahi Kuonekana


Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia taswira za mzoga huo.

Hapo akiwa Nchi Kavu baada ya Wavuvi Kumkokota , Wananchi Wakusanyika Kushangaa ni Samaki Mkubwa ambae hajawahi onekana maeneo hayo.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuuh...hiyo kali

    ReplyDelete
  2. hatari sana huwa tumbo linajaa gesi na kulipuka na kuleta madhara ama kweli ujinga ni mzigo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad