Nimepiga Sana Punyeto Sasa Nina Matatizo, Nifanyeje?
Shida Na Tatizo Linaambatana Na Dalili Hizi...
-High Nerve Pain Hasa Mgongo ,Kifua Na Kiuno
-Kukosa Hamu Ya Sex
-Mwili Na Viungo Vyote Kukosa Nguvu
- Maumivu Ya Ubongo Hii Upelekea Ubongo Kuchoka Na Kusahau Haraka Sana
-Usingizi Mara Kwa Mara
-Macho Kukosa Uwezo Wa Kuona
Wakuu Msaada Kwani Utendaji Wa Kazi Na Shughuri Za Maendeleo Kwa Ujumla Zimesimama
Pole sana ndugu, dawa hapo nikuacha kabisa kupigahiyo kitu , fanya mazoezi , usijifungie ndani peke yako, jichanganye na marafiki ,
ReplyDeletePunyeto ni nouma
ReplyDeletetamuuuuuuu , endelea kaka kupika puri
ReplyDeletepuri noma, nenda katafute ushauri wa dakitari, ukizoea puri basi hata mzee kusimama atakuwa hasimami tena mbele ya senene!!
ReplyDelete