Na Imelda Mtema
STAA wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake.
Akizungumza na gazeti hili bila kung’ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi lakini mwenye umbo dogo kama Nuh, akawa ni bingwa wa mapenzi.
Akiendelea kumwaga data mbele ya kinasa sauti cha Amani, msanii huyo anayetamba na wimbo wa Nakomaa na Jiji alisema kuwa katika mapenzi, umri wala ukubwa wa umbo hauna maana yoyote.
“Yaani kwa kweli Nuh ananimudu na tunaenda sawa katika suala zima la mapenzi, kwa hiyo sioni udogo wake kwangu, kwa upande wangu Nuh ni mkubwa sana watu wasiangalie mwili,” alisema Shilole pasipo kutaja umri wa mpenzi wake huyo.
Shilole aliongeza kuwa, kutokana na mahaba ya nguvu anayoyapata kutoka kwa mpenzi wake huyo, anapata nguvu ya kufanya kazi vizuri siku hadi siku hivyo hapati tamaa.
“Sina stress za mapenzi na mara nyingi nafanya kazi zangu zinaenda sawa kabisa,” alimalizia Shilole.
GPL
Shilole Afunguka 'Mpenzi Wangu Nuhu Ndio Anayenitibu Vizuri Wengine Big Noo'
7
September 04, 2014
Tags
nuhu mgonge mgonge mtoo huyo!1
ReplyDeleteShilole umesema kweli,,, mijanadume mingi tu ni NOOOOO!!!! hamna kitu, wana haraka ya kujipendelea wenyewe tu kisha finish, labda akuyweee viagra, na akinywa hiyo pia ni hamna lolote ni kukusugua tu bila mahaba,, mwanamke anahitaji mahaba basi anaweza akastarehe bila dudu,,, dudu mwisho loh. wanaume mnatakiwa mjue hiyo.
ReplyDeleteduuh aya bana
ReplyDeletekabang tamu jamani.
ReplyDeleteAko. Na. Inch. Ngapi huyo mpenzi ama wamsifia.tu
ReplyDeleteTigo huwa unampa au?
Deletekibamia
ReplyDelete