Kupitia mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeyeWema,Wema Sepetu akamjibu’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu ’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu ’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
Sikiliza Yote Hapa:
Sikiliza Wema Sepetu Akizungumzia Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala.
24
September 04, 2014
Tags
Hongera mdada. Noana umebadilika, Umeongea kwa busara. Kaza buti endelea na msimamo! Kila la heri.
ReplyDeleteMaisha ya kutafutana kwa maneno siyo maisha. Kila la heri
ReplyDeletenimependa majibu yako wema.
ReplyDeletebig up weMA.Penda sana ur ANSWERS..
ReplyDeletemim mwenyewe nimependa majibu yako wema love u sana
ReplyDeleteUmewaweza mumy maana hapo walitegemea mambo mengine safi sana
ReplyDeleteUkisikiliza majibu kwa maswali hasa linalohusu mtaji wa biashara
ReplyDeleteUnapata picha she dont care about her future on struggling for herself
Very satisfied with her current situation of depending on so called babies
From today I confirm she mentally disorder therefore it wastage of time to advise her.
Since she is happy as she always confirm that she is she
Wewe nae hata hujui kusom na kusikia pia ni shida? Huoni kama wema kaongea hayo ili kukatisha maneno ya watu. Mlitaka akatae ili domo aambiwe muongo watu wapate skendo mpya. Alichofanya wema hapo ni kukata watu midomo. Umepatana na penny...ndio na mimi ndo nilianza...ili msije kumfata penny muanze kumjaza maneno kuwa yeye ndo alianza. Haya umekula mtaji ndio...baada ya hapo mtasemaje tena?
Deletekwa kweli nakubali ayo ma jibu
ReplyDeleteWe mwanamke mind your business,ukimfatilia Wema utaumwa na kichwa.
ReplyDeletesikuwaza wala kufikiri kama wema atajibu majibu mazuri kama haya haja panic ndo maana kaamua kuchukulia poa. hayo majibu yanawafaa wendawazimu wote kwan waltaka wapate vya kuandika wangeuza mwezi mzima coz wangetafuta ushahidi na menina, penny na domo sasa imekula kwenu hongera sana wema.
ReplyDeleteMbona wewe ujaachana naye katika kusapoti ujinga wake
ReplyDeleteuyo mdau wa1:44 PM ndo hata uelewi ukiandikacho wema kajibu maswali kisomi ili kuwakata watu midomo
ReplyDeleteYes mamy! majibu ulioyatoa inaonyesha umekomaa, big up
DeleteHivi nyumba anayoishi wema ni ya nani?anaishi kama yuko Los Angeles,nyumba ya maanaaaa.Si mlisema Ni ya Clement?mbona bado anakaa umo?wenye kujua tiririkeni,maana sielewi kwanini bado yumo kwenye Hilo Bungalow.
ReplyDeletethanks you wema kwa majibu yako mazuri iliyoenda shule kweli sasa umekuwa umewakata ngebe walikuwa wanatafuta chakuandika na kukukosanisha na watu wamekosa njia safi sana kwa kutowapa nafasi ya kukuchonganisha na watu big up yaani nimependa majibu yako sana
ReplyDeleteWema jamani mzuri, dah daimond anafaidi
ReplyDeleteApecha lolo uyo
ReplyDeleteYake ya mekwisha mwanamke hungoji kujitangaza kama wewe ni mwanamke wakuolewa unajuwa kupika kwani mwanamme anataka kupikiwa tuu hata kina mama ntiliye wamejaa mitaani mwaname anataka na heshima siyi kila siku umuhisabiye wanaume wangapu umeisha lala nao na kulew juu
ReplyDeletewe uliejitangaza mwanamke wa kuolewa umepata nn, mind ur fucking buzness kuolewa bongo toka ugawe nyapu lako umepata nini kwendraaaaaaaaaa mjusi kilema ww
Deletetofautisha ladha ya mama ntilie na kempisky ndio utajua wema kamaanisha nini upo we budege ulie ishiwa mjini
ReplyDeleteJamani barua yangu hapo juu mbona aijibiwi?wema anaishi kwenye bungalow ukiingia ndani utasema huko ulaya,ni la nani?Clement si wameachana?
ReplyDeleteLakwake ndio maana kila baada ya muda anamuita interior decorator wake anabadilisha humo ndani atakavyo. Iko episode ya in my shoes inayoonyesha akifanya renovation ndani mwake. Hayo mengine uliyokuwa unayasikia ni maneno tu ya mjini hata kwenye kanga, keki yapo.
DeleteMdau umeuaaaaaa,eti hayo ni maneno hata kwenye kanga na keki yapo.Asenteee
ReplyDelete