Sintah Afurahia Diva Kupewa Makavu Live Instagram Kwa Kulinganishwa Uzuri na Yeye
7
September 04, 2014
"Nashukuru sana wanajamii kwa kuiona hii thou I dn care mtu akonitukana kitu ambacho sivyo but mmenifurahisha
Binafsi sio kiraru raru tuu but yeyote ambaye ni msanii yaan mtu anayefahamika na jamii akiandika utumbo tutaandika na akiandika mema pia tutaandika
Hiki ni chombo cha habari kama vingine eg magazeti,umeshawah kuona binafsi ktk insta,twitter,fb namuandika mtu??ama natoa habari ya mtu?? Anyway tynashukuru kwa kuwa we get paid for whatever we write here,na tunashukuru kiraru raru kwa kutuongezea viewers Mungu akujaalieeeee
Lastly but not least pole kwa kufungiwa acc twitter keep on writting bulshit watafunga na IG,kwakuwa watu wamechoka na tabia zako ndo maana wameku report so kaa tafakari
Thanks msamaria mwema kwa kumpa makavu live" Says Sintah
Tags
Mwee nilipitwa,yaani huyu wa kupenda kukaa uchi ndio anajifananisha na Sinta?
ReplyDeletembona wako mbalimbali,yaani ni kama sukari na pilipili.HAAAAAAAAA
Sinta ni mzuri saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
Hapana cheeeeezea Sinta wewe
ReplyDeleteMbona mm namuona Diva ni mzuru tu! huyu Sinta ndio mwenye pua kubwa imebabataa kisha shape flat
ReplyDeleteUPI WA KUPAKA MKOROGO/
DeleteHaibo
ReplyDeleteWaiiii diva ushuzi unamuona kwa camera tu muone live uje useme hapa ye na sintah nanizaidi.sintah ni bombasana kwa diva atasubiri miaka Mia kumpata sintah kwalolote ye abane tu pua nahivi kaaribu mitandaoni kwa zitto ni mwanaumegani wamaana atamfata wakimfata nikumfunua nakumtema ilasikwakumpenda asahau kupendwa anamalizia gk then ije danadana watu wafumue pira la makaratasi.hana akili huyo adiva ushuzi
ReplyDeleteSasa sawa SINTA BIBI YEYE DIVA NI AJUZA
ReplyDelete