Hii ni mara ya pili kutokea hitilafu ya umeme ambayo imesababisha moto kwenye msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni Manyanya baada ya mara ya kwanza ambapo uliungua tena August 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio wamesema kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme,Kikosi cha zimamoto na uokoaji kilifika na kufanikiwa kuuzima moto huo kabla haujaleta madhara zaidi.
NNYIE UDAKU NA CHANZO CHENU WAOOOONGO
ReplyDeleteHAKUKUWA NA UMEME, UMEME HAUJARUDISHWA TOKEA KUUNGUA MARA YA KWANZA KATIKA MAENEO MOTO ULIPOWAKA