Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo



Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Udaku Specially tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..So kuweni Makini Wakina Dada

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio kama kamera zinawekwa kuchukua picha za wadada,tatizo ni kwamba wadada wengi ni wezi hivyo wakiingia bandani kubadilisha nguo wanaingia na nguo nyingi mara moja wakijifanya wanajaribu na nyingine wanaivaa kwa ndani.Wakitoka utawasikia eti bei kubwa sana tutarudi kesho,mwenye duka akikagua nguo zake jioni anakuta hasara.
    Mimi mwenyewe imeshanikumba hapa sinza mapambano kwani kila siku nilikuwa nahesabu hasara hadi jamaa yangu mmoja aliponipa huo mchongo,nikaweka kamera na kuwakamata wadada wengi wengine wale mnaowaita masupa staa.Wadada acheni wizi sio mzuri!

    ReplyDelete
  2. zote hizo ni tamaa tu, hovyooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad