Bendera ya Kenya Yapepea Pemba

Haya wadau jipya hilo wakazi wa Pemba sasa ameanza kupeperusha bendera ya Kenya hii ikiashiria kuwa wapo tayari kuwa sehemu ya Kenya ,bendera hizo zimeonekana zikipepea juu ya Miti mkubwa ikiwemo miembe na minazi'

Bendera hizo zimeonekana sehemu za Mkoani ,Chake na Konde ikiwemo Wete ,vyombo husika vimegoma kuipanda miti hiyo na kupachua bendera hizo wakiogopa mambo ya kishirikina.

Sasa haijulikani kama hii ni njia mbadala ya kisiwa hicho kuendeleza madai ya kujitenga au ni hasira za kuchakachuliwa theluthi za Zanzibar huko Dodoma.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana nimeipenda hii

    ReplyDelete
  2. wacha waende hakuna wanachotusaidia zaid ya cc kuwasaidia wao WAO n kama mwanamke malaya wametuchuna sanaaaaaaaaaaa sasa na sisi tumegutuka wameona watafute bwana mpya saf sana BORA WANGETAKA WAJITAWALE WENYEWE NINGEWAELEWA LAKINI KWA JINSI WALIVYO TEGEMEZI WANATAKA WAWE CHINI YA, NYAMBAFUUUUUUU KAFIENI MBAL TWAWATAKIENI MAISHA MEMA NA JIRANI YETU

    ReplyDelete
  3. wakati mnajiandaa kupeperusha bendera jiandaeni kifungasha virago vyenu Tanganyika hasa vile viduka vyenu kariakoo..sijui haya mazanzi yakoja..kutuvuruga tuuu...mxiiiuuuuu

    ReplyDelete
  4. Anonymous 11:34 na 7:27 nyie ni misukule ya CCM

    ReplyDelete
  5. nendeni mkaungane na maumau kule ni vita kila kukicha Mkisii na Mkikuyu sasa mpemba na mjaluo sijui mpemba itakuaje hapo kwani wamezidi umwinyi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad