Biashara ya Ngono Imeshamiri Kila Kona..Je Unaonaje ikihalalishwa?


Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa. Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta). Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

By  Superstar1
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wanawaza eti serikali kupata hela tu. Wakati hela zenyewe zinachakachuliwa na kuliwa na mafisadi. Hazifanyi shughuli yoyote ya maana ya kijamii. Kama madawa ya kutosha, kuboresha elimu, nakadhalika, bali kuwaza kuwaendesha raia wake, mpaka na hela za ukahaba wazipate, huko ziwe nyingi, waibe vizuri, hopeless

    ReplyDelete
  2. KIUKWELI UMENENA JAPO TUNAWEZA TUSIKUUNGE MKONO ILA TUNAKUBALI KIAINAAAAA

    ReplyDelete
  3. Kamuuze dada yako na wewe,kumanina we.

    ReplyDelete
  4. kuendesha serikali na hela ya ukahaba basi ifanyeni Tanzania kama sodoma na gomora ili mlaaniwe

    ReplyDelete
  5. Shetaniiiiiiiiiiiiiiii anataka watu wote wawe MAchanguDOAaaaaaaaaaaaa. Mkimbilie Yesu Kristo Atakuponya na Kukuokoa.

    ReplyDelete
  6. Utajisikiaje siku unakwenda chukua changudoa unakuta kumbe ni dada au ndugu yako? Kama uwezo wa kuchukua machangudoa kwa shs. 10,000 - 30,000 kwa siku unao, kwa nini huoi? Hao wanaokutenda wamegundua kwamba wewe ni tapeli na unawachezea tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad