Kwa wale ambao wamekuwa wafwatiliaji wa BBA 2014 mtakubaliana na mimi kwamba kijana wetu toka Arusha na anayeiwakilisha Tanzania ndani ya jumba hilo ANABOA. Kijana kawa mzururaji tu na kukaa na wadada muda wote. Siyo mbunifu wa kitu chochote kama washiriki wenzake ambao wameonekana wakionesha juhudi binafsi na vipaji mbalimbali.
Binafsi nimevunjika Moyo kumpigia kura. Hajanishawishi maana sipigi hura kwa kuangalia utanzania.Hapana. Napiga kura nikizingatia ubunifu na juhudi binafsi.
Je wewe unamuoengeleaje Idris?! Lavida anafanya vizuri mpaka sasa. Aibu kwa Idris!
Bro ungeenda wewe basiiiiii
ReplyDeletewivu tu
ReplyDeleteunataka abuni nini? hapo sio mahala pa kuigiza maisha yasiyo yako, hapo ni kudisplay ulivyo. sasa kama ni mtu wa kuzurula na warembo we shida yako nini?
ReplyDeletewivu tu. ukweli ni kuwa anafanya vizuri sana. mind ur business
ReplyDelete