Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao.
Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.
Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba 4, mwaka huu.
Watapandishwa tena kizimbani hapo kesho saa 4 asubuhi.
(Habari na Deogratius Mongela/GPL)
hii serikali ni ya kipuuzi sana hasa kikwete ni kumamaaayeee kabisa police ndo mbwa kabisa
ReplyDeleteHuyo mama'ko hana kuma? Nadhani alikujamba hajakuzaa......nyoooooo, umkome kabisa baba Rizi.... choko wee!!
DeleteDuh vichaa na nao wana comment?ni shida sasa mitandaoni,muheshimiwa kikwete sasa amefikaje tena hapa?
ReplyDeleteTobaa! Hilo 'jikedume' wanalipeleka segerea, mabinti wajiandae kwa mimbe zisizotarajiwa!
ReplyDeleteBlogger oct 8th 2014 9:06 am unavyoongea ni dalili za mtu ambaye sio tu huna elimu bali na hekima vilevile. Mradi biashara yako ya "chips kuku" imeshamiri basi nchi haina matatizo! Kuna vitu 4 vinahitajika ili nchi iendelee: Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora. Umesikiandugu.
ReplyDelete