Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??
kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..
Zaidi hata ya Ally Kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!! ………………
Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.
Diamond ni Zawadi Kutoka kwa Mungu Kwa Watanzania..Ushahidi Huu Hapa
25
October 07, 2014
Tags
wambie wambie
ReplyDeletepumbu lako.
ReplyDeleteHII BLOG NI YA "DIMOND" AU!!!! maaana promo yake ya kinoko sana...mdogo mdogo mwisho chalinze......ali ndio mwna dar es salaam
ReplyDeletejus admit its huge blow to team alikiba
Deleteukwel ndo uo kama utaki kaandamane
ReplyDeleteHahahaaaaaaa eti mdogo mdogo mwisho wapi? Mwenzio ndio keshabeba tuzo nje na hiyo mdogomdogo Una habari? Kwa hiyo D lazima aandikwe tu siyo humu tu blog zote kwa sababu Kuna sababu za kumuandika!
ReplyDeletekumaaaaaaeee zenuu mdogo mdogo mwisho wapi mnasema ninyi makuma..???????????????? ngoma inapigwa dunia nzima uje useme nyimbo za kiba hata mikoan hazipigwii kwendaaaaaa hukoo kiba mshambaaaaaaaaa
ReplyDeleteHIVI HUYU NI MUISLAM KWELI?UISLAM HAUKUBALIANI NA HAYO ANAYOFANYA DAI,HATA TATOO.
ReplyDeleteWee nawe,kwa taarifa yako alishaacha uislam,anaabudu kwenye suti nyeusi.
Deletewe baki na amani kwa kuwa hachafui uislam tena.
Hebu mwambie huyo, maana watanzania hawaamini mpaka waone.
Deleteweee admin unageuzwa wee, achana na Ali Kiba kabissssaaa!! hilo Domooooo halipo kabisa kwenye anga zake, litabaki kuchangamkia madili feki na kuumbuka huko majuu!!!
ReplyDeleteKhaa watu mna roho ngumu eti Dai haingii anga za Kiba sijui anga zipi?
ReplyDeleteTeh! teh! teh! sio Ali Kiba tu, msanii yeyote wa Bongo Flava hawezi kufika level za Diamond kwa sasa, huyu jamaa anasafiria Devil Star, kuna mengi makubwa yanakuja zaidi ya haya....... (My people are perished due to lack of knowledge)
ReplyDeletekudhalilika!!!!!!!!!!!!!!
Deletetrue true ni zawadi ya Wema Sepetunga na mama yake mzazi sisi hatusaidii chochote
Deletehabari ndio hyo dai anatisha tena sana km awataki wakandamane km chadema.
ReplyDeletehuyu blogger ni mdada au mkaka.....majibu unayo acha kumfananisha domo na kiba kila mtu anaweza kivyake na kwa wakati wake. xo shut da hell fuck up.
ReplyDeletewe admin ni msenge acha ushabiki wa kishamba...mwache alikiba wa watu fala ww.shabikia domo na usimfananishe na kiba wala barnaba...hawaendani hata kidogo. huu ni mda wa domo utakuja muda wa mtu mwngn:-b
ReplyDeleteBAAMBIE BAELEZEYEEEE
ReplyDeleteDiamond ni Zawadi kwa wa-TZ wasiomjua Mungu.
ReplyDeletemtaelewa tu na hyo mwana kariakoo maana inaiushia kariakoo tu watu wako level zingine halafu wewe unakalia kubana pua
ReplyDeleteAli Kiba atasubiri sana kinachomfanya asitoe video za nyimbo zake mpya ni nini?Hapo ndo D anapowapiga bao alusema mwisho wa mwezi wa nane mwezi wa kumi sass akiulizwa ooh haina haraka kwa sababu audio inafanya vizuri! Diamond ananjua kazi na anajua kujipanga.
ReplyDeleteNi kwel kabisa diamond yuko juu. Mpeni sifa zake amejitahidi kuiwakilisha Tz vzr nje ya nchi. Keep it up D.
ReplyDeleteHata mkimchukia Diamond, Riziki zake hamtazuia daima!
ReplyDeleteHata kama D anaabudu kwa wenye suti nyeusi inahusuuuuuu??? Atabaki kuwa juu kama vp nanyie nendeni mkaabudu au mwambieni kiba akaabudu ili amfikie. D yupo juu na atabaki kuwa juu hata mnywe visu 0 haiwezi kuwa 1 hata siku moja..
ReplyDelete