Jamaa amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye mafanikio ila historia ya elimu yake yakushangaza sana alifeli darasa la saba mara mbili na ajasoma secondary kabisa ila ni mwandishi wa hadithi na vitabu mzuri kabisa na Anajua Kingereza Vizuri, Kingereza Alijifunza Ukubwani baada ya Kuona Kina manufaa katika Biashara zake ..Kwa Walio Angalio Kipindi cha Profesa Shaka Ssali wa VOA katika kipindi straight talk of Africa walishudia alivyofit ....Jamani kukosa Elimu isiwe Kikwazo ,U can still do mambo Makubwa Tusikate Tamaa
Eric Shigongo Hakusoma Sekondari Kabisa ila ni Moto wa Kuotea Mbali
0
October 07, 2014
Tags