Familia ya Mwal Nyerere yasusia Maadhimisho ya Nyerere Day-Tabora
0Udaku SpecialOctober 15, 2014
Mmoja wa watoto wa Mwal. anasema hakuna dhamira ya dhati ya kumuenzi Mwal. Nyerere, kwani siku ya maadhimisho watu wanazihusisha na uzimaji wa Mwenge. "Tumeamua kumuenzi hapa hapa Nyumbani" Alisema