Baada ya kutemwa na Detroit Pistons, Hasheem Thabeet amesema hawezi kukata tamaa.
“I came way too far. and i will keep working. I will not stop,” ameandika kupitia Facebook.
Thabeet alikuwa amesaini deal lisilo na guarentee (a non-guaranteed deal) na Detroit Pristons mnamo Sept. 24, baada ya kuachwa na Philadelphia 76ers, ambao walimchukua kutoka Oklahoma City Thunder Aug. 26.
Thabeet—ambaye alishika namba 2 katika 2009 NBA Draft na kuchukuliwa na Memphis Grizzlies—alikuwa mmoja wanne waliotemwa jana Jumatatu na Pistons. Timu hiyo pia imewaacha Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic
Boya uyo arudi bongo aanze kula vumbi
ReplyDeleteTOO LATE BRO...!
ReplyDeletempiga box
Usa
Welcome Nursing homes, ,, bady!!!! Yote maisha best.
ReplyDeleteTatizo wabongo hatupo seriously.. kina cobe briant, rebron james, tim duncan tumeanza kuwaskia toka hili boya letu linashinda na kamasi pale sinza makaburini halijui lolote.. mungu kamjaalia kupata zali ikawa shiiiida.. mara akihojiwa na media ajifanye hajui kiswahili, mara aje kupigana na TID kidogo, mara amsarandie jokate wkt pini za maana zimejaa kule mwishowake ndo huu... rudi uje kucheza vijana au pazi wakustiri huko me naona ndo bas tena!!!
ReplyDeletehahahahahaha hii kali
Delete