Hatimaye Diamond Ambwaga Davido Kwa Kishindo Kwenye Tuzo za World Music Awards

Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards).

It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M’burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10|2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa,” ameandika msanii huyo kwenye Instagram.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera ndugu. Inshallah mungu atakuongezea zaidi na zaidi. Endelea kumuomba

    ReplyDelete
  2. ulishasema mdogomdogo na nimeamin kweli mdogo mdogo watakuelewa tuache wivu jaman tumsapot kijana wetu anaitangaza vyema nchi yetu lakin tumekalia majungu na unafiki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad