Hatimaye Mwigulu Afunguka Kuhusu Urais 2015, Wanafunzi, Wafugaji Wachangisha Fedha za Fomu

Akizungumza na gazeti la Mwananchi. Mtoto wa Mfugaji ambaye ni Naibu Waziri wa fedha amesema tayari watu mbalimbali na makundi mbalimbali wameshaanza kuchangisha fedha kwaajili ya Kumchukulia fomu ya Urais mwaka 2015.
Hii inatokana na uadilifu wake na Utendaji wake uliokatika kiwango cha juu hasa katika kutetea wanyonge....Toa Maoni Yako Kama Unaona Anafaa Kuwa Rais Wako Ama la?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. labda raisi wa singida, na huko kama atakubalika?

    ReplyDelete
  2. Hawa wapuuzi wanaona taasisi ya uraisi ni nyepesi nyepesi tu....pumbavu zao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad