Hii Ndio Tofauti ya Wanafunzi wa Chuo wa Bongo na Wale Wa Ulaya Katika Picha

Nenda Google images andika Maneno Haya 'Wanafunzi wa Chuo'
Trust Me Zitakuja Picha nyingi za Aina hii Hapa Chini:



Halafu baada ya hapo andika ''University Students'' Zitakuja Picha za Aina Hii Hapa Chini:
Je Unaweza Sema Nini Kuhusu Picha hizo Hapo Mbili ? Je Wanafunzi wetu vyuoni Wanasoma Kweli? 

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admin ulichofanya ni kuchukuwa picha za Keli za kibongo na picha za ulaya kwenye net, hail halisi ya awo wanafunzi wa ulaya ukiwa nao bas ndo utajuwa laiti kama ukimwi ungekuwa kwa asilimia kubwa Huku Kama africa bas na maambukizi yangekua Hayana tafauti na up

    ReplyDelete
  2. Wenzetu wanajitahidi kuficha mabaya yao. Huwezi kuta vyombo vya habar ulaya vinaongelea mabaya ya kwao. Ila sie ndio tuko bucy kuandika mabaya tu wakat kuna mazur mengi. Waafrica hatupendani

    ReplyDelete
  3. Yeah umeona eee ivo ndo ilivyo but haina maana kwamba awo wa ulaya ndo wanasoma kinoma. Ata Africa kuna wanafunzi wanasoma kinoma kuliko wa ulaya sema maisha tu magumu. .. wa ulaya wanapata mikopo bank kirahisi mno ili kuwasaidia na maisha huku wako chuoni ama university. .. wa nyumbani mtu anakwenda shule hajui lunch anakula wapi, asiuze mkate mchezo...

    ReplyDelete
  4. ulaya high school ni balaa kuliko vyuo vya huku bongo madogo wanangonoka hadharani...... we umeamua tu kuchukua picha mbaya za bongo ukaweka na picha nzuri za mamtoni lengo lako ni kuponda bongo >>Kesho me naweza kuchukua mbaya za mamtoni na nzuri za bongo kwa leongo la kuipondonda mamtoni ......... cha msingi hapa inabidi ujifunze kusifia vya kwenu na pia kuwa more creative katika habari zako hii post is the cheapest post i ever saw......

    ReplyDelete
  5. acheni kuji-please wabongoo, elimu yenu iko wapi? usomi wenu uko wapi? elimu ya m-bongo ni ngono tu, digirii za chupi au za kununua, kichwani hakuna kitu kabisa. Nini cha kusifia hapa bongo zaidi ya ngono, mashuleni, vyuoni, maofisini n.k.. uwajibikaji sifuri, hakuna ubora wa bidhaa wala wa huduma.. wakati fulani huwezi kumtofautisha msomi na asiyekwenda shule...

    ReplyDelete
  6. always wazungu wanaichukulia afrika negatively,uzinzi hata vyuo vya wazungu upo tena zaidi ya vyuo vya africa ila kila post concearning africa ni mbaya tu,wanaangalia mabaya tu hawapost yaliyo mazuri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad