JWTZ itoe Tamko Juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za Jeshi na Kukata Mauno

Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si askari.. Kwamba ukivaa tu basi umevunja sheria na inapaswa uadhibiwe mara moja, either mahakamani au 'wapigwe tu'.. Hilo linapewa nguvu na taarifa ya juzi kati jamaa kulazimishwa kuoga maji ya barabarani maeneo ya kariakoo baada ya mjeda mmoja kumnyaka na nguo zinazofanana na zao.. 

Sasa cha ajabu mbona juzi katika tamasha la Fiesta mwanamziki Diamond na timu yake pamoja na Ney anayewatega, wameonekana wazi wakiwa na sare hizo tena wamezivaa hovyo hovyo kata K wakinengua jukwaani.??? Au hiyo sheria inamgusa nani?

Huyu kijana akiwa na ufahamu kuwa television ya taifa inaonyesha hili tamasha lao kavaa SARE ZA JESHI tena full kuanzia viatu mpaka kofia.

Wasanii ni Mfano wa Kuiga, Sasa hawa wanafundisha nini watu wengine?

Hii ni Dharau
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzandiki wewe unadhani hawakutafuta vibali ?? Mfyuuuuuuuuuu kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. aliyepewa kapewa mtatafuta kila njia mwaka huu ila dangote koomaa tushawastukia wana wivu hao

    ReplyDelete
  3. anahaki ya kuuliza bana maana si sheria na kama hawana kibali sheria ihusike hapo hakuna cha wivu

    ReplyDelete
  4. ni nguo nzuri, zinapendeza zinawapa mori hata wanajeshi wetu waone wako sehemu inayotamaniwa na kila mtu...si mbaya hata nchi zilizoendelea wanavaa kwavibali maalumu, JESHO LETU WANANCHI, NI MALI YETU LINAJIENDESHA KWA KODI ZETU, Diamond kachangia kodi nyingi tuu kwa TRA, mishahara ya Jeshi pia inatoka TRA, ni haki yake kama alifuata utaratibu na akapewa kibali, anyway, kwa jicho la wazi tuu asingeweza kuvaa bila kibali...PLATNUMZ NI MTU POA SANA WAPAMBE NDIO WANALETA NYOKO NYOKO, Nimemeet naye several times in very different angles, HE IS A GOOD GUY.. HE DESERVE OUR SUPPORT,

    ReplyDelete
  5. WATU WENGINE NOMA WANANGOJA MTU AFE NDOWAMSIFIE

    ReplyDelete
  6. eshi ni usalama wa nchi sio kitu cha kuiga wala kuchezea,admin anahaki ya kuuliza na kulikemea na ikibidi wachukuliwe hatua,
    Hata siku moja hakuna kibali kinaweza tolewa kwa mtu kudance na sare za jeshi.
    Ni fedheha hasa kwa diamond anavyoheshimika kufanya hivyo,
    Wadau kemeeni hili wala msisapoti hili.
    Jeshi likikosa nguvu nchi itayumba na tutaumia sisi.
    Kitendo cha udhalilishaji na kulishushia hadhi jeshi letu,
    Iwe mwishoooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  7. Luckdube alikuwa akivaa mavazi ya jeshi kwenye show zake zote

    ReplyDelete
  8. wasenge wanapenda sana kuchonga kumamake zao wanaboa sana.....what so special na hzo gwanda si zinanunuliwa tu na kodi za walala hoi. its just like other clothes msitake kuleta ufara na kwa msanii amevaa just to demonstrate his strength on his fun..............Hakuzivaa kuzichana na ana kibali.Kwani unadhani dangote hawezi kwenda depo akawa nazo hzo ebooooooooo.................

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad