Kama Haya Ninayosikia Ni Kweli Basi Wema Sepetu Atavunja Rekodi Tanzania

Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo wema sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond, kwa mujibu wa mama yake wema amefunguka na kusema kama diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa dar,wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama wema sepetu atatolewa pesa hizo na diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayali kuolewa na diamond hata bure
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama anayo bikira ya mbele na nyuma hapo sawa ooohhh na ya mdomo pia lol

    ReplyDelete
  2. Kwa jinsi Chibu alivyomtumia, na kwa kiasi alichoingiza kupitia 'nyota ya Wema' hata hiyo mil. 100 ni ndogo!

    ReplyDelete
  3. haya tumesikia, jamani team wema uko insta hater wa wema wamezidi kila kona wanaibuka cjui wengine wanasaka umarufu ama nini ukiwangalia wengine wana chuki kwa vitu vidogo tu mi nazani mungewapuuza its big time wapuuzeni fanyeni yenu msifieni mnaempenda mana iyo insta uwiii imejaa matusi ila wema ana hater wengi jamani kuna watu hawampendi wema ata sijui kawakosea nini ama wanamtaka Naseeb jamani hahaha mana kila atakae tembea na naseeb or kushukiwa tu kama katoka na naseeb basi wao atakuwa team yao or alogombana na wema yeyeto basi wao ni rafiki kwani issue ni nini hasa mana huwa sielewi namuonea huruma wema anatukanwa jamani uwii kay nae anatukanwa ila ya wema yamezidi, kwa faida ya wote matusi si mazuri kay ana mtoto kijari, wema una watoto wa dada zako ndio vinakuwa tena si vizuri baadae wakute matusi haya jamani wekeni amani amani team wema msitukane mana mtajibiwa na team kay vile vile kila mtu asifiye anayempenda basi kwisha aaaahhh jamani mitusi kila saa kama hamna dini!!?

    ReplyDelete
  4. mil 100 za nini sasa ameshamtumia vya kutosha umri nao unaenda,chibu aoe tu tuone na watoto

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad