Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na Kile Cha Shigongo, Straight Talk Africa

Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na kupima uwezo wake wa kukimudu kimombo pale alipofanya interview ya kimombo na Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show kinachorushwa Clouds TV kutokea London.

Na wakati huu namsikiliza Eric Shigongo akifanya interview na presenter mahiri wa kipindi cha Straight Talk Africa,Prof Chaka Ssali wa The Voice of Africa.Nawapongeza kabisaaaaaa but man,we can still pick a hole or two in the interviews: (1).The guys are trying too hard to impress and to sound relevant,nafikiri wakati mwingine wasipanie au wasiwe na fikra kuwa ndugu zao tunaowaangalia huku tuwakome,i mean wafanye interview wakiwa totally focused on the issues raised in the interviews na wasitake tunaowasikiliza "tuwakome" (2).Sporah alizungumza Queen's English wakati Diamond alitaka watazamaji tuamini kuwa yeye ni Kanye West au 50 Cent.

Hivyo hivyo Eric Shigongo wants us to believe kuwa yeye ni wa mitaa ya Brooklyn New York wakati yeye ni Msukuma through and through....ninachosema,they need not fake their accent,mbona Chaka Ssali ni profesa na anazeekea Marekani lakini hathubutu kusema accent ya kimarekani?

Yeye bado anapiga kiingereza chake cha Kabale Uganda and he's doing good!Nasema hivi,wanastahili pongezi lakini wazungumze kiingereza cha kawaida tu wasitake kutafuna maneno kama kina Obama,kufanya hivyo kunawaboa viewers because for one,they are not fluent,sasa kama hauko fluent utatakaje kujiongelesha accent ya kimarekani,people!Wanigeria na Wakenya mbona wanaongea tu kivyao vyao and we have come to like Nigerian English'oooo,haven't we?

Hongera Diamond,hongera Shigongo,mna afadhali kuliko Mh.Membe,siku moja nilimsikiliza kwenye kipindi kilekile cha Straight Talk Africa niliboreka sana,sikuona tofauti yake na Mulugo

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

  1. Sishangai kwa Dai labda iko kwenye damu,maana hata mamake tumemuona kwenye sherehe
    hupenda kufungua pochi ya hela mbele ya watu na humo ndani kapanga noti zote kubwakubwa za nchi tajiri kwa makusudi tuone,ni mara nyingi hufanya hivyo,cha ajabu anatunza pesa ya Tz tu,sasa kwa nini anabeba mahela yote haya kama si ulimbukeni na maonyesho?

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamani 12:16 pm kuwa mstaarabu, hapa tumemuongelea diamond sasa habari za mama ake imetoka wapi????????????????????? wewe ndio limbukeni hapo umedandia treni kwa mbele, mumuache mama wa watu na noti zake hazikuhusu

      Delete
  2. Powa2 why not if you are loaded

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. If u don't have special stuff to write please don't write shit, what queen English does sporah speak ,queen English doesn't sound like that at all,her English is real standard , she translate stuff in Swahili to English

    ReplyDelete
  5. Hata wewe huna tofauti na hao kina Diamond. Ulichojaribu kuandika hakieleweki, kiingereza chako "broken" hata kama umechanganya na Kiswahili

    ReplyDelete
  6. Ok so u think I have English like diamond nothing wrong with that , Wht I wrote is call British slang u bitch, is not for u to understand twat
    And for your info I wouldn't be a lawyer if I had broken English what about that up your face( opps again u will not understand this English too) dick head , the summary is sporah doesn't have queen English as I said queen English doesn't sound like that

    ReplyDelete
  7. kila mtu ana uhuru wa kuongea anavyotaka acha hizo

    ReplyDelete
  8. huyo nae kuma tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad