By Roser Roberts-Udaku Specially
Habari Tulizozipata kutoka Arusha zinasema kuwa lile Jambazi Sugu ambalo kazi yake ilikuwa kuvamia Wanawake na kuwaua Nalo limeuwawa na Jeshi la Polisi Baada ya Majibishano Kadhaa ya Risasi Usiku wa Kuamkia Jana, Jambazo Huyo Ametambulika kwa jina la Ramadhani Jumanne Mwenye Umri wa Miaka 37.
Kabla ya Kuuwawa Jambazi Huyo Inasemekana alikuwa akiwavamia Wanawake Watembea kwa Miguu na Kuwauwa Kisha kuchukua baadhi ya Viungo vya mwili na Kutokomea Navyo, Alikuwa akisaidiana na mwenzake ambaye alikuwa akiendesha piki piki..
Lile Jambazi Sugu Lililokuwa Likiwavamia Wanawake na Kuwaua Arusha Lauwawa na Polisi
0
October 11, 2014
Tags