'Ludenga Kwa Hili Am Not At Your Side!! Sitti Am Not Hating But Kwa Upande Wangu Hapana' Martin Kadinda

 Martin Kadinda Mwanamitindo na Maneja wa Wema Sepetu Amefunguka Haya kuhusu Miss Tanzania:

Daaaaah... Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana.... Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo.... Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock....

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa miss wa mwaka huu kabebwa kisa tu mtoto wa mbunge

    ReplyDelete
  2. Hiyo mwakani atakuwa kibonge zaidi Mrs tz

    ReplyDelete
  3. Mikono yake minene,uso umekaa kiutu uzima kishangimbwari.macho yakikahabakahaba mbona warembo walikuwa wengi huyu kwakuwa mtt wambunge?we lundenga hunajipya nawenzio kajambe kulee

    ReplyDelete
  4. Huyu demu amekaa bomba kwa mtoko wa usiku!

    ReplyDelete
  5. jamani nicheke mie mdau akajambe kulee.

    ReplyDelete
  6. ziwa saa ngapi?sikute ziwa saa 12 jioni.kama la muuza chapati wa manzese

    ReplyDelete
  7. acheni wivu wa kijinga

    ReplyDelete
  8. no 2 akifaa kuwa miss tz no i sio huyo siti binafsi simuonei wivu ila sifa za kuwa miss hana kabebwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. dem anasura ya kizee!! kwaufupi miss world anaenda kutuaibisha!!!! hakuna wivu bana tunaongea ukweli. kasura kakavu mno

    ReplyDelete
  10. yaani haweafikii hata kidogo mamiss waliokwisha kupita miaka 15 nyuma,sijui itakuwaje akikaa miaka 3 ijayo si atakuwa kibonge zaidi..

    ReplyDelete
  11. Sasa Jamaani kwani Anko Ludenga ndio jaji!!? kisha umiss si kukwakilisha uzuri tu hata mazungumzo pia yanapewa nafasi kubwa, ukiwa miss mzuri lkn haujui kuongea nini unakwenda kuiwakilisha nchi yako. acheni wivu wa kijinga huyu madada ana sifa zote za kuwa Miss Tanzania.

    ReplyDelete
  12. mbona yuko poa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad