Lulu Michael Afunguka Kuhusu Ukaribu Wake na Martin Kadinda


Binti  Mrembo  ndani  ya Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Akizungumza na mwandishi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiyafurahia  maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.

“Kadinda ni mtu wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad