Matokeo ya Yanga SC dhidi ya Wanajeshi JKT Ruvu Haya Hapa
5
October 05, 2014
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Kelvin Yondani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga Imeshinda katika Mchezo Huo
Tags
Admin shabiki no.1 wa Yanga,
ReplyDeleteunabishaaaaaaaaaaaaaaa?
kwa kuwa hakuweka matokeo ya simba?
DeleteWeraaaaaaaaaa!
ReplyDeleteEti mnyama anasema anawasubiri 18/10/2014 kumalizia hasira zake kwenu,
mmejipangaje?
mmmh,walimkaba Jaja wakamsahau Yondani.
ReplyDeletesimba wajinga mtapigwa mechi zote mkisubiri mshinde mechi ya yanga,mtashuka daraja mwaka huu ubingwa mtausikia jangwani na chamazi tu
ReplyDelete