Hata kama ni mambo ya kisiasa,twende taratibu. Jana, Mbunge wa Kawe (CHADEMA) na Mwenyekiti wa BAWACHA Halima Mdee alikosa dhamana na kuswekwa rumande. Ikatolewa sababu kuwa alishindwa kutimiza masharti ya dhamana. Sasa, hebu twende hatua kwa hatua.
Kwanza Halima Mdee alikamatwa. Pili Halima Mdee akaachiwa kwa dhamana ya Polisi. Tatu Halima Mdee alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka yake. Nne, upande wa Mashtaka haukuwa na pingamizi juu ya dhamana ya Halima Mdee wala wenzake. Tano,Hakimu akatoa masharti ya dhamana. Sita, washtakiwa wote walikuwa tayari kuyatekeleza na kuachiwa kwa dhamana. Saba, upande wa Mashtaka ukataka kwenda kuhakiki wadhamini wa Halima Mdee na wenzake.
Umepagundua penye tatizo? Ni hapo pa kuhakiki wadhamini. Halima Mdee anajulikana. Wadhamini wake, ambao wengi ni Wabunge na Maafisa wa CHADEMA Makao Makuu wanajulikana. Kuhakiki kulikujaje? Wengine mbona hawafanyiwi hivyo? Kibaya zaidi,wahakiki hawakuenda mahali popote hadi Halima Mdee alipopandishwa karandinga na kwenda mahabusu. Wahakiki walitokomea kusikojulikana. Why?........Kwanini?
Nitoe rai kwa wahusika wote kufanikishadhamana ya Halima Mdee. Ingawa si wachama changu, hastahili kombolela lililochezwa jana. Hakuna haja ya 'kuipaisha' CHADEMA na viongozi wake kupitia Mahakama. We are suffering from that;it must end! Pole sana Halima Mdee.
"Ingawa si wa chama changu"Mmmmh!
ReplyDeleteHiyo ndio gharama ya kupenda SIFA, mwache asote SERO akili imkae sawa, katiba ikishakabidhiwa kwa JK ataachiwa, usijali.
ReplyDeleteLakini mbona hujaeleza alifanya kosa gani, umeng'ang'ania kakamatwa, kaachiwa, kakamatwa, kaachiwa......eleza sababu. Mwache avune alichopanda...nyambafu zake.
ReplyDeletehuyu msagaji anasifa sana tena asotoke!
ReplyDeleteSiasa ni nouma aisee
ReplyDeletekuma la mama yako alishamsaga mama ako au dada yako au unataka akusagie mkeo.................kuma la babaako mbooo hazina deal we kauze kwa washamba hiyo mboo yako na atawasga sana mana wanawake hawataki miboo yenu ..
ReplyDeleteMbona hao wenzake huwasemi au wao walistahili?
ReplyDeleteUliemtukana huyo sawasawa naongezea huyo ni hanisi mahanisi wanaropokaga tu sababu hawa function mbwa wewe.mdee hoyeee wanaokusema unasifa wote makada wa ccm wakajambe kuleee.maviyao
ReplyDeleteAKOME KIHEREHERE
ReplyDeleteUkome wewe mshenz wa tabia wakifanya ccm police wanakula bata wakiwa chadema hamtulii minyoo inawawasha namajiyenu mamaeeee tutakutana kwenyekura nyie pandeni chuki tu natutachagua wabunge wengi chadema mpaka mjambe makamasi.jeuri mwenzie kusudi hamtutishi tumieni akili na busara.sio mabavu kwanza nendeni gym hko vitambi km majeneza kazi kufanya ufuska tu bungeni
ReplyDelete