Watanzania tumefunikwa na scandal ya Miss Tanzania badala ya suala la Katiba Mpya. Pengine tufikirie upya (Rethink) hivi ni kweli tunapaswa kutumia muda na shilingi nyingi za bundle kurusha kupokea na kusambaza scandal ya Miss Tanzania badala ya Kuangalia kwa makini zaidi Suala la Katiba Mpya?? Jiulize pengine watawala wanafaidika zaidi na Miss Tanzania Scandal kwenye mitandao kuliko ambavyo Watanzania wangejikita kujadili Katiba Mpya kwenye Mitandao. Rethink Jiulize Kwa nini!
Sasa Hivi Hata Mambo ya Katiba Mpya Yamesha sahaulika......Watu ni Miss Tanzania kwa Kwenda Mbele...
Miss Tanzania ni Scandal Cover ya Mjadala wa Katiba Mpya
6
October 26, 2014
Tags
ndio kazi yenu watanzania unataka tuipotezeee?? la hasha hatuachi hili la uongo ulio dhahiri sitti achia hilo taji kwa hiari yako mwenyewe!!!!!
ReplyDeletewengine wanasema eti tukuachie taji kisa hata wacheza mpira mpira huwa wanazidisha umri wa hiyo tuendeleze uongo uongo tu jamani khaa!! watanzania Duuu!!! hii kali sana ona haya jamani achia hilo taji
ReplyDeleteKatiba hatuitambui nakuthibitisha hili ngoja kwenye uchaguz tutakavyowafanya.tutawafyagia mpaka wajute wanaopigia kelele katiba ipite kwamaslahi Yao binafsi tutawafyeka kama kuku mmejisahausana.nakuhusu bibi bomba miss utomvu hatumuachi hatumtakiiii pasee nahatutaacha kusema kuhusu yeye
ReplyDeleteKWELI NI BIBI BOMBA
ReplyDeleteHEE HIVI BADO ANANG'ANG'ANIA TAJI NA MAUSHAHIDI YOTE HAYO ????ANATAKA NINI ZAIDI MISS MTEMVU???
ReplyDeleteACHIA HILO TAJI SIO HAKI YAKO HATA MUNGU WAKO ANAJUA!!!!!
ReplyDelete