Mjumbe wa Bunge la Katiba alia Hadharani Kujulisha Umma Hajapiga kura Bungeni wala Hakuwepo
3
October 10, 2014
Nimechek Itv Nimeona Aliekuwa Mjumbe Wa Bunge la Katiba Akiangua Kilio Kupinga Uchakachuaji Aliofanyiwa Na Akina Sita Kwamba Alipiga Kura Ya Kupitisha Iyo Katiba Pendekezwa. Nafatilia Nijue Jina Lake.. Anaiwa Haji Omar Khamis. Ni Makamu Mwenyeki Wa Nccr Mageuzi Zanzibar. Amesisiza Yeye Hakushiriki Kwenye Bmk Na Wala Kujadiri Au Kupiga Kura, Lakini Jina Lake Limeandikwa Kwenye Katiba Pendekezwa Kuwa Ni Miongoni Mwa Wajumbe Walioshiriki Kuipitisha. Nimemuonea Huruma Sana, Maana Amepandwa Na Presha Na Kukimbizwa Hospitali.
Tags
dah ni shida hiyo ndo Chukua Chako Mapema
ReplyDeleteCyo mamluki huyo.....maana analia nn kama alishajitoa mwenyewe
ReplyDeletemnafiki tu ashakula pesa ya watu sasa inamtokea puani
ReplyDelete