Mke Akosea na Kumtumia Mume Wake Picha ya Uchi Aliyokuwa Anamtumia Mchepuko Wake
5
October 03, 2014
Dada mmoja Mitaa ya Migomeni Dar es Salaam Amezua Kioja Baada ya Kumtumia Mume wake Picha ya uchi Kupitia Whats app, Inasemekana Mume alikuwa Kazini Akashangaa Message imeingia kwenye simu yake kucheki ni mke wake kamtumia picha ya uchi , Jamaa anadai toka amuoe huyo dada miezi sita iliyopita hakuwa kumtumia picha kama hizo kitu kilichosababisha jamaa arudi nyumbani na kumshushia kipigo cha Haja Mke Wake Huku Majirani wakishuhudia Mpaka Mke alipokiri kuwa alikuwa anamtumia mtu mwingine ambaye ni mchepuko wake...Baada ya kukiri jamaa alimtupia mizigo yake nje aende kwao...Haya Jamaa Tuweni Makini ...
Tags
Uonevu tu,na huenda kipigo ndio kimemfanya akiri kuwa alikuwa anamtumia picha mchepuko,ili tu asiendelee kupigwa ( kubali yaishe).kwani si kuna mbinu nyingi za kulea penzi tunajifunza kila kukicha?na pengine ndio mke alikuwa anaanza kupalilia penzi?na je angenunua maua akampa angempiga?miezi 6 kitu gani,watu wanaleta mautundu kwenye mapenzi hata kama wana miaka 5,si ndio utandawazi na watu hujifunza kila siku?Mume mshamba nae!
ReplyDeletemshamba kweli kweli. Kisa hajawahi basi asiwahi. mume ana akili mgando. Yani ndo amana wadad wengi wanaogopa kuwa open kwa watu wao sababu mtu ukiwa mbunifu unapigwa. usipokuwa mbunifu unatafutiwa mchepuko. siku hizi ni mwendo wa mchepuko tuu. Ukiwa na mchepuko ujue na wako atachepuka tu.
Deletesijapenda mbona mmeonyesha picha ya mwamke je ya mwaume iko wapi onyesheni wote tuwaone msiwe na upendeleo kuwazalilisha wanawake
ReplyDeletealikuwa anamtafutia sababu tu huyo ya kumfukuza alikuwa keshachoka kumlisha ugali wake basi me nisingeondoka tungemambana mpaka kieleweke au aniue kabisa kaaaaa
ReplyDeleteWANAUME MBWAAAAA STAKAA KUOLEWA ACHA WASAGAJI WANISAGE NILE MAISHA TU MANA KAMA NI MTOTO NIMESHAPATA SIWEZ KWENDA KUDHARIRISHWA NA WANAUME..WASAGAJI NDO WAJUAO MAPENZI
ReplyDelete