Mwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Dar (TIA) Ajichoma Kisu Baada ya Kusalitiwa na Boyfriend

Mwanafunzi wa chuo cha uhasibu dar (TIA) ajichoma kisu baada ya kusalitiwa na boyfriend wake...nyie wanaume kuwenu na roho ya huruma mnapendwa lkn hampendeki had ajiue hivi ndo uamini??...sio sirii niliwah fikia this stage lkn saiv hata chozi langu hutoliona"
~Mrekebisha Tabia


Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makubwa..kutoa uhai kisa mapenzi nitalia nitamwomba Mungu nimsahau ckuzaliwa na sifi na mtu..kufia uzinzi hawara sio hata mume umeachwa na watoto nyumba umefukuzwa..pole kwa wazazi waliojitoa kukulea kwa upendo umeamua kuwaumiza

    ReplyDelete
  2. Pole kwa Familia ,na sie tulio baki hata kama ni mume, boyfriend au mchumba akikuacha kukusaliti dawa sio kujitoa roho, Omba mungu akupe nguvu na mtoe akilini mwako maisha ya endelee,, hamkuzaliwa tumbo moja kuwa ni ndugu yako mkitengana undugu utaisha.kujiua sio suluhisho unamuacha mwezio anakula bata kiroho safi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad