Mwanamuzi Lady Gaga Sasa Amepitiliza, Atembea Uchi Mitaani, Watu Wapate Sinema ya Bure


Sio Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa kuwa na vituko vingi awapo jukwaani  sasa amehamishia vituko mtaani baada ya kunaswa akitembea akiwa amevaa T-shirt tu bila nguo chini kitu kilichofanya watu kumshangaa kila anapopita....
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na story zenu za kuokota washenzi nyiee... lady gaga anamatako makubwa hivyo tokea lini? na unene kaupata wapi? hivi utaalam wa uandishi mmeuokota wapi?

    ReplyDelete
  2. Mdau umenichekeshaaaaaaa hapo juu

    ReplyDelete
  3. Kutembea uchi mitaani nii utamaduni gain huo?

    ReplyDelete
  4. utamaduni wa kutembea uchi ni wetu wa africa enzi hizooo!! lakini hawa jamaa wana google picha hawajui ni nani wanaandika wanachotaka... eti lady gaga!! inaelekea hata huyo lady gaga hawamjui... check huyo mdada na hayo matako!! umbo!!! lbda mama yake muandishi wa hiii habari huyo!! mdau hapo kati nafurahi umecheka ni afya....

    ReplyDelete
  5. Mwandishi wa habari naona hajielewi, habari na picha ni vitu tofauti......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad