Nimetembea Na ‘house Girl’ Wangu Na Sasa Ana Mimba

Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani. 

Mke wangu amekuwa akirudi kutoka kazini usiku sana na mimi huwa narudi nyumbani saa nane mchana. Nimejikuta muda mwingi nakuwa na mwanangu na ‘hausi geli’ tu ambapo mke wangu tumekuwa tukiwa na muda mzuri wa kuvinjari siku moja tu kwa wiki. 

Nisiwafishe ‘hausi geli’ huyu alitokea kunipagawisha kutokana na umbile lake, sijui ni tamaa au nini lakini nikajikuta nimezama katika dimbwi la mahaba kiasi cha kufikia hatua ya kumchukulia kama mke wangu kwasababu huduma nyingi alikuwa akinipatia. 

Kinachonipa wakati mgumu sasa ni kwamba, mke wangu anahisi kuwa natembea na huyu mfanyakazi wangu na kwamba ikibaini hivyo kwa ndugu jamaa na marafiki itakuwa ni aibu. Mbaya zaidi ‘hausi geli’ huyo sasa anadai ana mimba yangu. Hebu naomba unishari nifanye?
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nawe nawe hilo shuzy lako na unalo hilo, sasa wewe ndio baba mwenye nyumba, kazana kuleta mahitaji home ili mama nae apatikanike nyumbani, mwishowe, mama ana kuwa baba, na baba anakuwa mama, ahpo ni kama baba ndio mama na mama ndio baba ndani ya family, kutwa mama apatikaniki anakimbizana na kutafuta pesa ili mambo yawe sawa nyumbani huyo mama ndio baba wa family

    ReplyDelete
  2. Unalo umalaya utakuponza

    ReplyDelete
  3. piga ndoa ya pili tuu kama muislam inakubalika, usiumize kichwa

    ReplyDelete
  4. Ulipokuwa unatombana nae mbona hukutaka ushauri? utajibebaaaa!!!

    ReplyDelete
  5. Mpumbavu sn uyu,mama anashinda kwenye mchakato wa kutafuta ili mpate kula wote badala ya kumsaidia na kumthamin ndio kwanza unamuongezea stress,yaan wanaume wengne kweli ni mizigo tu hayana faida yoyote. Yeye akija ba mimba ya mtu mwingne utafurah? Nyambafu ww.

    ReplyDelete
  6. Vipi kama hausigel ana ukimwi???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad