Picha Instagram: Hamisa Mabeto Atupia Picha Zilizoleta Gumzo na Kuwaacha Watu na Maswali

Wengi sana wamekoment kuhusiana na staa huyu kutupia picha na hili vazi…..Hebu toa maoni yako wewe unasemaje – vazi hili lipo vipi kwa maadili yetu?  Na wakati huo huo  juzi tu amemtambulisha Mpenzi wake.


Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuiga umarekanise tu, ushamba na urimbukeni unasumbua kweli, wanna be

    ReplyDelete
  2. why tako jeusi?

    ReplyDelete
  3. MKOROGO UMEGOMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. MKOROGO UMEGOMAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  5. yaani mwili mbayaaa hauvutii.tako rangi tofaut na uso.jiuze tu mana uko kazini.ilajikoboe takoni uwe sawa nahuo uso Wako mfyuuu

    ReplyDelete
  6. mwacheni mtoto mzuri kila mtu na uhuru wake hajatukana mtu, acheni wivu

    ReplyDelete
  7. anatafuta kiki huyo amumjui,mi filter kibaooo usoni kama shetani maimuna

    ReplyDelete
  8. sio yeye kwenye hiyo picha admin ni muongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad