Jana mchana taarifa za kukamatwa kwa M/kiti mpya wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Mh Halima Mdee ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Kawe zimesambaa kila kona ya mitandao na vyombo vingine vya habari....
Wamekamatwa kwa kufanya maandamano ya Amani ya kuelekea Ikulu kumwomba Mh Rais asipokee rasimu iliyochakachuliwa...naimani unafahamu fika jinsi rasimu hiyo imekuwa na utata na mpaka mwisho mambo mengi muhimu na ya msingi ya Kitaifa yameondolewa na wabunge wa Bunge maalumu la Katiba....
Sasa nauliza, kosa la Halima na wafuasi wake (Bawacha) ninini? Kupeleka kilio chao kwa Rais? Je maandamano si haki ya kikatiba? Kuna nini nyuma ya huu mtindo wa polisi kupiga raia badala ya kuhakikisha usalama wa raia???
Sijaelewa vipi taarifa hii inauliza maswali haya, kwani mwandishi yuko upande gani?
ReplyDeletehii page si ya kuifollow hatukuelewi wewe ni mwandishi gani unatuuliza au unatupa habari! ndio mana mnapigwa
ReplyDeletemay be
DeleteMuandishi sijui chadema
ReplyDelete..hata kama wako sahihi wanatakiwa kupatakibali kabla ya kuandamana otherwise kila mtu angeandamana mfano bodaboda nao wangeandamana..ushamba tu wa muandishi nshamuona hoja kibao ana base upande mmoja
inabidi mwandishi urudi darasani ili uandike point zenye mashiko
ReplyDeletemwandishi badala ya kuuliza swali anauliza majibu.msaidieni CHADEMA huyu.....
ReplyDeletemm ni kali
ReplyDeletenafkri wapigwe tu. tumewachoka.
ReplyDeletemwandishi ni mwana demokrasia, kwanini wakamatwe maandamano ni hai ya kikatiba
ReplyDelete