Tanzania Yang’ara Uzinduzi wa Big Brother Africa, Mtanzania Achaguliwa Kuwa Head Of House

Shindano linalopendwa  na wengi  barani Afrika, maarufu la Big Brother Afrika ambalo kwa mwaka huu ni la msimu wa 9 likijulikana kama Big Brother Hotshot lililoanza usiku wa kuamkia leo Tanzania imeng’ara hasa kwa washiriki wake kufanya vizuri katika muonekano wa awali sambamba na shoo iliyopigwa na mwanamuziki Nasseb Abdul ‘Diamond’ aliyeteka umati uliohudhuria uzinduzi huo.

Halfa hiyo ya masaa mawili ambayo imeweza kushuhudia washiriki  26,  imekuwa  gumzo pale washiriki wanaoiwakilisha Tanzania msimu huu wa 9, Laveda na Idriss wakifanya kweli katika utambulisho wao huku mwanamuziki Diamond akikonga vilivyo na wimbo wake wa ‘My Number One’.

Tanzania imekuwa na bahati ya kipekee kwa mshiriki wake huyo, Laveda ambapo aliteka umati mkubwa kwa kuonesha uhodari wake wa kupuliza “Saxophone”, hali iliyopelekea kupigiwa kura nyingi huku akishangiliwa kwa shangwe muda wote.

Kura hizo alizopigiwa Laveda na kuwa juu ya washiriki wote 26, pia zimemfanya awe Mkuu wa jumba hilo ‘Head of the House’ mpaka hapo itakapoamuliwa na Biggy. Kura alizopigiwa Laveda ni 85.0 huku mshiriki wa Kenya, Sabina akipata kura 78.3, ambaye yeye alionyesha uwezo wake wa kuchekesha kwa kutumia maneno.

Angalia Video zao Hapa Chini:

Tags

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aliyeng'arisha Tanzania ni Laveda,ni kweli kabisa,na kafanya vizuri sana.
    Daimond hakushangiliwa sana kama Davido.
    Na huyo Idris kawaida kabisa,acheni chumvi.

    ReplyDelete
  2. Laveda tu ndio kateka umati mkubwa kushangiliwa kati ya hao Wa-TZ,
    hata sisi tuliona,tusipende sifa za kijinga.

    ReplyDelete
  3. naona mnaupamba usheitwani na ukafiri wa big brother,endeleeni kumfurahisha sheitwani na upuuzi wa kuiga iga ushenzi na umaluuni,sabab mabwana zenu wa kizungu ndio waanzilishi basi ndio mnaona ni maendeleo kumbe ni ukafiri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe uliyeenda kuchoma jengo mpaka umefanya show imechelewa kuanza,bwana wako ni nani?Na kama huangalii BBA,umejuaje kama waanzilishi ni wazungu?kwendraaaaa.

      Delete
    2. angalia naye huyu,jengo limewaka kwa ishara ya adhabu, sema sabab umeshakaririshwa na kunyweshwa petrol hamna kitu unaweza kufikiri zaidi ya ulevi

      Delete
  4. Kwani umelazimishwa kuangalia BBA wewe hanisi hapo juu unaoita watu makafiri, na ukichukia kakate mtu kichwa maana ndo zenu kulazimisha kuabudu dini yenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mfuasi wa sheitani utamjua tu,wao kazi yao kupigia makofi ukafiri na ndio maana yanakatwa vichwa.

      Delete
    2. Hata kukatwa kichwa ni kifo pia,ni njia tu ya kuutafuta ufalme wa mbinguni.

      Delete
    3. kama kukatwa kichwa nacho ni kifo mbona mnatapatapa kama samaki mfa maji,jitulizeni visu viendelee vyote si vifo.

      Delete
    4. kama kukatwa kichwa nacho ni kifo mbona mnatapatapa kama samaki mfa maji,jitulizeni visu viendelee vyote si vifo.

      Delete
  5. wale sio waislamu wanaowakata watu vichwa ile ni proper ganda tu za hao makafiri ili kuutiwa doa Uislamu bt tunasema kama walishindwa kina firauni na wenzake na kuja kutamka shahada wakti anakata roho na wao hivyo hivyo, Allah hatowapa nguvu zaidi ya kuuharibu UISLAM. Uislamu ni dini yenye sheria zake, haki zake, taratibu zake na ustaraabu wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wale Boko haram je?na alshabab?

      Delete
  6. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe,shika unachokiamini,na sio kulazimishana.

    ReplyDelete
  7. kama unashabikia big brother we ni mfuasi wa sheitwan

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe ulieingia huku kwenye udaku ni mfuasi wa nani?Anaeshabikia BBA na anaeshabikia Udaku tofauti yake nini?Muwe mnajichuja kabla ya kuhukumu wenzenu.

      Delete
    2. Hapa hajahukumiwa mtu,ukweli unauma

      Delete
  8. Mada inahusu BBA,sasa ya kanisani na msikitini yanatoka wapi?

    ReplyDelete
  9. hahahaa Mungu angekuwa anahukumu kama nyie mnavyo hukumu hapa sidhani kama humu duniani hao mnao waita Makafiri wangekuwepo angekuwa kasha wauwa sikunyingi kama akilizenu na rohozenu mbaya zinavyo watuma. Nyinyi itafuteni pepo hukumu mwachieni Mungu.KWANZA HUKU KWENYE UDAKU MNATAFUTA NINI badala msome vitabu vitakatifu MNAKUJA HUKU KUJITIA NAJISI NA NYIE MTAKUWA MAFIRAUNI TUU HAMNA LOLOTE KUJISHAUA TU HAPA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bravoooooo!

      Delete
    2. ukiona mtu anatetea matendo ya sheitwan na ukafiri,atawapa majina ya ugaidi watetea haqq

      Delete
  10. ''kumbusha hakika ukumbusho utawafaa watakaoamini'', wapo watakaopata mazingatio na faida na kunako mabaya ndio kunakohitaji ukumbusho

    ReplyDelete
  11. wakala sheitan

    ReplyDelete
  12. Umesema kweli, eti wanayasoma haya na kuyangalia, wanaacha kuinamishwa vichwa chini, na kusoma vitabu vitakatifu, wanajitia unajisi na ukafiri tu, kwa kuyangalia haya, dunia siku zote ni uwanja wa fujo

    ReplyDelete
  13. mawakala wa sheitwan

    ReplyDelete
  14. Wagalatia 6-1.5.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau.
      Tukutane Paradiso.

      Delete
  15. Mdau kungekua na kitufe cha kulike ningelike mara 10000............na kweli na wao Mafiruni tuuuu wanafanya nn humu siwakosema vitabu

    ReplyDelete
  16. ndio maana wakaitwa makafiri, hawanaga hoja ila siwashangai sababu ya upofu wa moyo ndio maana wao kila kitu ndio,na siku zote wakala wa sheitwan lazima atatetea mambo yasiyokuwa na maana.

    ReplyDelete
  17. Kitabu gani kinafundisha kutukana, eti kafiri na kipo kwenye aya tukufu ya kiislamu? Kweli kwa dini hiyo bora niwe mpagani, alafu nyie wafuga majini mnafanya nini kwenye UDAKU? Wanafiki wakubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. wafuga majini ni nyie kila siku mnaotoana mapepo kanisani yasiyokwisha,eti mnaponya kwa jina la yesu wakati uchawi wa pete,mikanda na mafuta ya nigeria,we kuwa mpagani kuwa kafiri vyovyote vile ni shida zako.

      Delete
  18. kwa jina la yesu......napitaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. Kwa jina la yesu na mshindwe mnaofanya dhihaka.

    ReplyDelete
  20. Mbona hujajibu swali mnafanya nn kwenye udaku?? Majini si mnaleta nyie nani atakayetoa kama siyo kanisani? Kazi kuvunja Nazi kwenye milango ya watu, mwaga tena ugali mi nitamwanga mboga, shetwaini mkubwa wewe.

    ReplyDelete
  21. tunachofanya huku ni kukataza maovu kama haya munayoyashabikia na kunako uovu ndiko kunatakiwa kutolewa ukumbusho mwema.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad