Tazama picha zote za birthday ya Diamond ilivyokuwa jana. Apewa zawadi ya gari aina ya BMW X6 na Team ya Uongozi Wake
Tazama picha zote za birthday ya Diamond ilivyokuwa jana. Apewa zawadi ya gari aina ya BMW X6
13
October 03, 2014
Tags
Mambo kama haya ndo yanasababisha mfumuko wa bei kihasara hasara...TRA ongeni kodi kwa watu kama hawa kuliko kuendea kuwanyonya wa lalahoi
ReplyDeleteKweili mdau, alafu wote tunaonekana mambo yetu safi, kumbe. kundi kubwa watu wamefuri na maisha, ukata ile mbaya, ni shida tupuu, kwa jamii kubwa, ukata mtupu
Deletewaislamu wenzio usiku huo wako hija wanatubu kwa mungu wao wewe unatubu na pombe upo na shetani ungengoja siku hii ipite ndo uandae sherehe wewe ni muislamu usiwe hivyo kama shetani bhana. na huyo mama ako ndo hovyo kabisa hizo hela ulizofanya hapo si bora ungempa mama ako akaenda kuhiji maka.
ReplyDeleteMambo ya fweza hayo, just spend life is too.. short, mambo ya dini baadaye, ya kaizari mpe kaizari na ya m ungu mpe mungu, huuu. ulimwengu tu, kila mtu na stail yake ya maisha, nadhani kila mtu akipat ndio hivi , huna tena ndio basi, everyday to be suppose jolly jolly
ReplyDeletemmmmh??????
DeleteDini mwisho wake kaburini then tutahukumiwa kulingana na matendo yetu siuende wewe safisha njia yako kwanza ikiwa safi subiri kwenda mbinguni kila mtu atajibu maswali yake mwenyewe mwache aishi maisha yake nawewe ishi yako matakatifu mwanadamu uliekamilika hata kunyooshea mwenzako kidolee..Mungu yupo na anatupenda sana wanadamu wote ndio maana tunaishi
ReplyDeleteWatu wengine kujifanya wanajua kuhukumu wivu tu hujapata hiyo nafasi wewe kila mtu atabeba furushi lake kula raha dai unazitafuta kwa jasho shurti uzitumie maisha yenyewe mafupi bana
ReplyDeleteNani hajui maisha mafupi tumekuja duniani main thng ni kuabudu kama muislamu kwa hizo dini zengine sijui,ndugu yangu hapo na kuunga mkono angetowa fedha mama aende maka lakini pesa zenyewe haziruhusiwi kufanyia ibada yoyote sababu nyimbo haifai kwa kiislamu sasa pia inakuwa ni bure
ReplyDeletePoleni Diamond si muislam.labda muislam jina Kama Wema.
ReplyDeleteNdugu yangu uliyetoa ushauri wa kidini..Ni kweli kabisa usemayo,,lakini hapa sio pahala pake..Kwanza huyo Diamond pengine humu haingii,,na huyo mama yake ndo kabisaa,,sana sana wewe utajibiwa na watu wasojali mambo ya dini,,,na comments zao lazima watakushambulia tuu kwani unawavurugia starehe yao...cha muhimu,wewe kama unamjuwa mtu yeyote wa karibu na mama yake diamond na lazima awe ni mcha Mungu,ndo umueleze habari hiyo na akiwa si mcha Mungu ataona nae kuwa unawaonea wivu......Mie Nakushauri Habari kama hizi au ushauri muzitafutie pahala pake na wakati na watu wake maalum,,ma sivyo watu kama hawa watakushushia Imani yako,,,Vile vile kama alivyosema mdau hapo juu,Pesa ya miziki ni haramu,,,Jamani,,,,Watu mnaojifanya wajuwaji na kibri,,kuweni makini na midomo yenu,,,kifo kiko mbele yenu any time..kama hujajiandaa na uanze sasa,,,,na maneno ya kusema sema ni hatari sana,,kwani Allah Anakushuhudieni,,,,Leo Sheikh swala ya Eid kazungumza heka heka za Qiyama,,,kuwa watu wote tutafufuka uchi wa mnyama,,,Saydina Aysha Alimuuliza Mtume Muhammad S A W ni vipi wanawake na wanaume kuwa katika sehem moja uchi,,Mtume akamjibu,,kwa shughuli kubwa itakayokuwepo hapo siku hiyo hakuna wa kumuangalia mwenzake kila mtu ni YaaRabb Nafsii,,,Na hapo jua lipo utisini mwetu....Hapa si pahala pa hiyo msg just to let you know,,,,Atakae Nitukana Namsamehe kwani hajijui...Kila la kheri
ReplyDeleteoo mara waongeze kodi mara wanaponda raha.mara nini hiyo yote ni wivu. believe me hata ungekuwa ni wewe ukipata hela hutayasema haya umasikini unakusumbueni. na ufahamu kuwa diamond hela yake anaitafuta utabakia kuuza maji ya viroba na kumsema diamond. kwa nini tusiwe na wivu wa maendeleo watanzania?
ReplyDeletekila jambo na wakat wake unadhan ungelikua na pesa usingefanya sherehe ya siku yako ya kuzaliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa...achen manenoo nae kapata acha atumiaaaaaaaaaaaaa...unafikir wewe ndo unamfundisha habar za umungu unadhan yy hajui km kuna mungu watanzania bhana wengi wapuumbavuuu.....nan asiejua km kuna mungu.....................
ReplyDeletenapitaaaaaaaaaaaaa..
ReplyDelete