Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja Ni Shidaa, Embu Ona Hawa Walivyofanyiziana

Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja vya Kujenga Nyumba unapofikia hali hii kuna hatari hata ya kukatana mapanga , Kinachoonekana Hapo kwenye hiyo Nyumba ni kukosa maridhiano kati ya majirani hao wawili , Huyu mwenye nyumba inaonekana alijenga nyumba yake na kuingia kidogo katika kiwanja cha mwingine ambae nae baada ya kukuta hivyo akajenga ukuta kwenye mpaka wake ambao ukuta umeingia mpaka kibarazani kwa Jirani.....Unawaambia nini Watu Hapo ?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mie nawaasa tu kuwa hivyo viwanja wanavyogombea wote si vyao ni mali ya serikali.
    Pili ardhi yote ni mali ya Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
    Tatu ni hivi ata mtu awe na heka, 1000 siku akifa atazikwa ndani ya kaburi linalomtosha yeye tu peke yake, kwa hiyo sioni chochote cha maana wanachogombea hao majirani wakati viwanja si mali yao, ardhi si mali yao, na siku ya mwisho wataingia kwenye ardhi usawa wa kiganja chao cha mkono

    ReplyDelete
  2. we mdau vp hiyo kuhusu kufa yah watazikwa kama pima 2 tu za mguu but kuhusu kiwanja utasemaje kua ni mali ya serikali wakati wamenunua kwa pesa zao

    ReplyDelete
  3. WAKAE CHINI WAPATANE KWANI NDUGU YAKO WA KWANZA NI JIRANI YAKO AISEE

    ReplyDelete
  4. Mdau uko juu kiimani..Mola Akuzidishie....Hivyo viwanja serikali iliwauzia mali ya Mungu na serikali sii mali yao tena ya hao raiya na raiya sio yao ni ya Mungu...Ole wao wenye kudhurumu viwanja hasa huko wizara yaardhi...makaburi yatawabana mpaka mbavu zenu zinapisha kama uunganishavyo vitanga vya mikono na kupishanisha vidole..Ee we wacha..Mwenyezi Mungu Atunusuru tuwache tamaa za kidunua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad