Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba, alihangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba.
Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.
Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.
Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.
Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao..Unakubaliana na Mimi Au Unakataa?
SIO KWELI KABISA, UMEISHIWA VYA KUONGEA HERI UKAE KIMYA
ReplyDeleteNikweliii
ReplyDeleteni kweli sinza wa kuhappen wengi mno...ila mwenge na kijitonyama kama walewale tuu, bora huko bunju, mbezi, mweni, chanika kwa wazaramo lakini nao wanamatukio
ReplyDeleteni kweli kabisaaaaaaaa tena nakubaliana na ww kwa asilimia zaidi ya mia moja
ReplyDeleteNaona unampigia debe Dada yako wa tandale tumuoe.....hakuna kitu kama hicho...
ReplyDeletewa kijitonyama na mwenge hawana tofauti na wa sinza wote ni wale wale vicheche balaaaaaa.
ReplyDeleteHata wanaume wanaokaa maeneo ya huko ni nomaaa....ndo mana na wanawake wao wanakua hivyo. wengi wanashinda wakitongoza tuu. mnajisahaulisha kuwa hizo tabia mnazoziogopa wanazifanya na wanaume. mbona wao hawatajwi kuwa ni hatarishi.
ReplyDeletewangese
ReplyDeleteNi kweli kabisa.mimi nilioa mwanamke kutoka magomeni.nilidhani nimepata mke bora,kumbe alikuwa hafai kabisa.kwa wakati fulani ali'imitate kulingana na mimi nilivyo,lakini baadae akawa wazi,kumbe alikuwa anatoa mpaka tigo,NILIACHANA NAYE
ReplyDelete