Updates: Habari zaidi Kuhusu Yule Mwanafunzi Aliyejichoma Kisu Tumboni Baada ya Kumfumania Boyfriend Wake
10
October 12, 2014
Mapenzi hatare sana!hayana cha wewe mzuri,au una cheo,au una pesa,ama hauna...yaani yakikukamata utajuta so mtu akifikiaga maamuzi ya hivi usimcheke kabisa!!....sawa na kumtukana mamba huku mto bado hujavuka Huyu ni mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.....sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospt unaweza kumshauri vipi ili asirudie kufanya kitendo hicho??maana huwezi kujua labda bado anayo dhamira ya kujimalizia......ila wanaume mnapata dhambi sana kwa Mungu dah!hivi mwanaume akiwa na mwanamke mmoja itakuwaje??au ataonekana mshamba??....yaani tangu jana niliwaza hili tukio mpk basi...dwah ngachoka mie!!
Tags
ndo inabidi apate funzo atulie ajibidishe zaidi kwenye masomo, mambo ya mapenzi apumzike kwanza
ReplyDeleteKumbehajafa aewe usghauri hayuko sawa kwa kichwa
ReplyDeleteALIKUWA HANA NIA YA KUJIUA, KAMA ALIKUWA ANATAKA KUFA ANGEKUNYWA SUMU YA PANYA HATA ASINGEPATA TABU KAMA HII YA KUUGUZA DONDA ANGEKUFA KWA DK KADHAA MWEHU HUYOO OVYOOOOOOOO UJIUE KWAAJI LI YA MBOOO!!! OVYOOOOOOO MIJANAUME YENYEWE YA SIKU HIZI WATAKAO UMIA NI WAZAZI WAKO NA NDUGU
ReplyDeleteMungu ni mkuu kuliko changamoto zake hivyo akimcha hatababaishwa vijimambo kama hivyo after all yeye ameumbika kama hajijui na tambue kwamba wako watu wamekumbana na changamoto hizo wakiwa ndani ya ndoa yet hawakuthubuti na kama angekufa Mungu asingemsamehe dhambi yake ya kuuwa kwani asingekuwa na muda wa kutubu
ReplyDeletewanawake wanazaliwa wenginkuliko wanaume na hata ukuaji wao ni waharaka kuliko wanaume ndo mana mtaani ni wengi mno.....tukisema kila mwanaume mmoja na mwanamke mmoja wanawake wengi watakosa raha ya dunia ndo mana wanaume handle as many as u can.....
ReplyDeleteakili yako fupi ka mkundu wako malaya mkubwa wewe
Deletehakuna wanaume wachache na wanaume wengi hakuna kitu kama hiko kila mwaname ameumwa na mke wake. ila kwa misemo yenu kwamba wanaume ni wachache inamaana kwamba wanaume wenye akili ni wachache kuliko wanawake mwenye akili na wanaume wasio kuwa na akili ni wengi kuliko wanawake wasio kuwa na akili that mean wanaume wachache kuliko wanawake wenye akili wanawake huuuuuuleeeeeee hadi wanaume wenyewe wanasaport hili
DeleteHuyo boya hajui thamani ya maisha....bila maisha mapenzi ungeyajua? Chunga maisha Yana direction nyingi kama capillaries....acha kufikiria kama nzi
ReplyDeleteKatumwa akasome anakalia ujnga pumbav hyo
ReplyDeleteMume hupangwa Na Mungu na Mungu alikuwa, anamuonyesha huyo si mume wake na pia tuache tabia za kushiriki mapenzi kabla ya ndoa. Pia kuna wakati shetani yupo kazini ndo aliyempa suti ya kujiua bila kujua yeye mwenyewe.
ReplyDeleteYaan cha kumshauri amrudie Mungu Kwa sababu. ukiangalia kwa undani zaidi ni kama amekuwa mtumwa wa shetani. Shetani anashurutisha kufanya zinaa, pili anamtwika na roho ya mauaji (kifo) asipojiua yeye kuna uwezekano akauwa mtu.