Wanawake Wenzangu Njooni Tuwatete Huku Hawa Viumbe, Funguka Kuhusu Maudhi ya Mume

Wanawake ni jeshi kubwa.
Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mume maana kwa kweli ni mengi sana na usipoangalia yanaweza angamiza ndoa yako.

Karibuni tuyabainishe haya maudhi.

Mimi naanza.
kutoa maagizo kama anaongea na mtoto mdogo.
kurudi usiku huku yamelewa
hakutomasi tomasi kama mwanzo
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni shidaah...weka matatizo yako na ndoa yako sie akuuu...kimnya kimnya tukishindwa vumilie tunaachana knya kimnya no kujaziana inzi

    ReplyDelete
  2. Kutoka nje ya ndoa, kutembea na house made, dharau na kujikweza

    ReplyDelete
  3. Upate mwanaume umekaa nae zaidi ya miaka 3bila kuzaa nae, apate mchepuko na ku uza lisha basi dharau na vijembe utakavyopata ni shidaa ee mungu tuepushe na hili balaa

    ReplyDelete
  4. na wewe kwanini usizae au ndio mambo ya kuabort mpaka kizazi kinatoka mbwa anakula wewe hujui

    ReplyDelete
    Replies
    1. watu kama wewe mnaijaza dunia na akili zenu fupi zilizojaa kinyesi. Ungemaliza hata form four na kufaulu biology ungegundua kuwa sio kila mgumba ametoa mimba...na sio kila mda mimba inashika. na mara zote kwa taarifa yako wanaume wanachangia sana wake zao kutopata watotot. sasa ili nisipoteze miaka yangu mitano bure kukuelemisha wewe. tembelea hospital yoyote iliyo karibu nawe ukapate msaada wa elimu ya uzazi.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad