Wema Akacha Kumpa Zawadi Diamond, Wengi Wasema Ameshindwa Kujibu Mapigo ya Murano

Na Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutompa zawadi yoyote katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee uliopo Posta jijini Dar.

Kutokana na msanii Diamond kumpa zawadi ya gari aina ya Nisani Morano mwandani wake huyo katika siku yake ya kuzaliwa japo hakuwepo na kumuachia mama yake amkabidhi, mashabiki wengi walikuwa na kiu ya kutaka kujua ni kipi ambacho Wema angemzawadia mpenzi wake katika siku hiyo ili kudhihirisha upendo wake ikiwemo kwa mashabiki kama alivyofanya Diamond.

Mpaka shughuli inaisha watu mbalimbali walijitokeza kutoa zawadi zao huku wengine wakimmwagia noti pamoja na menejimenti yake kumzawadia gari aina ya BMW X6 lakini mwanadada huyo alishindwa kuonyesha makeke yake mpaka mwisho wa shughuli na kubaki akijilaumu;

“Hee halafu sijui kwa nini mpaka shughuli imeisha eti sijatoka kumpa zawadi baby wangu, sasa mbona hakuna aliyenikumbusha?” alisema Wema mwisho wa shughuli hiyo.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Manina zenu acheni unafki na ugombanishi yana wahusu nn nyie kutompa zawadi na mnajuaje hovyoo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inajulikana na kuaminika Wema hakutoa zawadi,kwa kuwa kila kitu chake lazima atangaze,na inatuhusu kwa kuwa ni super star na anatoka na Diamond,na ndio habari ya mujini.Upooooooooooo?

      Delete
    2. hana hela jamani mwacheni labda mpaka dada yake Mange Kimambi aka Dougiemasta15 amletee kutoka USA

      Delete
  2. na niyi nao wambea uu unajuaje huko home walipanga nini mambwa nini mnapenda kuingiliaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe nawe,tangu lini wema akafanya jambo bila kutangaza?wewe ni mbwa koko.

      Delete
  3. hawa wasanii wetu wakibongo ni feki sana, kazi kujifanya wanahela kumbe hamna kitu, ukiwa unalipwa madafu kama wewe ni msanii au hata ukilipwa dola kwa kutumia rate ya shilingi bado utakuwa hauna kitu, hapa bongo weengiii wenye fedha za maana, aidha wanazipata kwa ufisadi au dhuluma, wachache sana wanazipata kwa njia sahihi.

    ReplyDelete
  4. Hayo 'mauno' anayompa ni zawadi tosha........

    ReplyDelete
  5. Kabisaaaaa Mdau bongo 25% ndo wanapata PESA kwa njia inayompendeza Mungu the rest ni madawa ya kulevya,ufisadi,ujambazi,wizi.

    ReplyDelete
  6. Msiwape vichwa hawa wasanii kwa kuwita mastaa au ma sper star. Hawana ustaa wo wote.

    ReplyDelete
  7. Ambae mnadai hajapewa zawadi hajalalamika, nyie watu baki ndio kelele mingiii kwanini hajatoa zawadi. Yaani wamewakomeshaje mwaka huu! Zawadi aliyoitoa Wema kumpa Diamond mtaiona kwenye In my shoes ambayo na Dai ni cast wa hiyo reality show

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad